Vijana wa leo, kama umefikisha miaka 30 na huna kazi ya maana fanya hivi

Mwishoni unaficha taarifa kwa kusema gharama za serikali unalipa wewe ila huzitaji hizo gharama zikoje
Nimesema na iko hivi jina la gharama za serikali ni 2000/= kampuni ni 247200/= Kwa kampuni pia makadirio ya kwa new case unashauriwa kufile 0.0 so utalipia withholding Tax ambayo inategemea mkataba wako wa pango, then kwenye leseni utalipia kutokana na biashara yako. Ila gharama zote za mwanasheria nalipa mimi.
 
Jajajajahaja umenichekesha sana mkuu, umenikumbusha stories ya jamaa yangu alifanya unavyosema akakodisha fremu pale Millenium Towers tulimshauri sana aache huo ujinga akawa mbishi, leo hii ana deni zaidi ya milioni 20 na hajui anaipataje, kuna mambo tusipotezane
 
Ahsante kwa tusi zuri limeniingia kweli kweli, Naomba wewe sasa niambie njia gani nzuri ya kijana aliyemaliza chuo na hana kazi yoyote. Na pia kumbuka ninachofanya mimi ni kwamba namurlekeza kila kitu ila na yeye pia aweze kuwafanyia au kuwafungulia wenzake kampuni ama jina la biashara, Na ndio maana nimesema tunasaidiana, sasa kuliko kunitukana basi toa option nyingine ili vijana wasome na wafuate mawazo yako
Wewe mpuuzi huoni kama hili wazo lako halina tofauto yoyote na kamari?
 
Mimi nitaendelea kuweka uzi huu, na natafuta njia ambazo ni halali kabisa za kupata kipato. Ndio maana nimewaomba hizo hela wanazoenda kubet si bora waanzishe kampuni hata tu ya kufagia ofisi na kulipwa kwa mifumo ya tender
Hili wazo lako pia ni ku-bet. Unadhani hizo tenda zinatolewa tu bila kuangalia uwezo wa kifedha alio nao bidder? Hujui kuna ku-submit bank statement wakati wa kuomba tenda? Acha kushauri ujinga.
 
Niliuliza swali hapo juu kimtego nijue kama kweli ana nia ya kuwasaidia hao anaowasema hawana kazi😂😂😂 yaani mtu hana mtaji unamwambia akaombe tenda serikalini au hata taasisi binafsi? Hixi taasisi zinazolupa baada ya miezi 6 hadi mwaka? Akaombe tenda serikalini ambako kulipwa ni hadi ukaribie kukata roho?

Kimsingi alikua anataka kutangaza kazi yake ya kusajilia watu biashara.
😅
 
Nimesema na iko hivi jina la gharama za serikali ni 2000/= kampuni ni 247200/= Kwa kampuni pia makadirio ya kwa new case unashauriwa kufile 0.0 so utalipia withholding Tax ambayo inategemea mkataba wako wa pango, then kwenye leseni utalipia kutokana na biashara yako. Ila gharama zote za mwanasheria nalipa mimi.
Kijana najua tupo tunapambana. Ukitaka kumsaidia mtu mpe msaada kamili na sio kimafungu. Hujui kuna tenda zina vigezo vya kimtaji na uwezo wa uhalisia? Mbona katika 'msaada' wako hujawasanua? Tusiwatumie watu wasio na ajira kuwafanya daraja.

Nadhani sasa uje na tangazo lingine kuwakaribisha kwako waje wajifunze usajili wa kampuni na compliance nyinginezo na huo ndio utakua msaada mzuri zaidi
 
Jina la Biashara; Hela ya serikali ni 20,000/= Hela yangu 20,000/=

Kampuni; hela ya serikali ni 24,7200/= Hela yangu 130,000/=

Jina la biashara Ukitaka full package;
Certicate/TIN/TAX CLEARANCE/LESENI ni 180,000/= (gharama za serikali unalipa wewe)

Kampuni ukitaka full package; Certicate of incorporation/TIN/TAX CLEARANCE/LESENI/ ni 350 000/= (gharama za serikali unalipa wewe)

Mawasiliano 0693 784003

Ahsante.
Nahitaji
 
Salaam wakuu:

Kama ushamaliza chuo na bado hujaajiriwa kwenye taasisi yoyote ya serikali au private Tunajaribu kusaidiana na kukumbushana, japo hiki kitu vijana wengi wanafanya.

Acha kubet na kucheza kamali, na kunywa visungura kutoa press za kitaa.

Hiyo hela ya kuber fanya hv. Fungua kampuni au jina tu la biashara (fuata compliance zote) kwanzia Certicate of incorporation/ Certificate of registration, TIN, Tax clearance pamoja na leseni. Kajiunge kwenye platform ya kuomba tender serikalini au taasisi za serikali.

Then, wakati unasubiri chukua tena compliance zako tafuta kampuni zinazoeleweka, anza kuomba tender ndogondogo hata kama utapata tender ambayo faida yake ni laki mbili tu, wewe komaa tu. Tafuta experience kwanza, then marafiki zako wawe watu wa procurement na wahasibu kwenye hizo kampuni.

Ukifanya hivi mwaka mmoja tu, tayari utakuwa ushajua principles zote za kufanya bidding.

Nimeamdika kwa kifupi sana. Lakini nia yangu ni kwamba wakati unasubiri kuajiriwa na kutumwa basi wewe fikiria kuwa supplier.

Ukiamini kwenye ndoto zako, ukasali, ukatoa sadaka kwa imani kwenye dhehebu lako. Hautasota sana kama kukaa nyumbani na kusubiria ajira.

Kama upo interested njoo PM Nitakujsajilia kampuni au jina la biashara na kukupa utaratibu wote.

Nawasilisha
Nakukumbusha kwamba hela zao za kubeti ni jero jero sasa jero ndo ifungue kampuni?
 
Nipo ukonga Banana; Kampuni yangu inaitwa SHALOOM AFRICA ENTERPRISES njoo kwa muda wako namba yangu ni 0693784003 Karibu sana. Nina shida ya supplier wa Stationaries ukatapo pata bei ya rim paper kwa bei yangu elekezi nina order ya rim paper carton 50. Endelea kuwasikiliza hao watu ambao tayari wana maisha yao, wenyewe ni kupinga kila kitu. Ahsante sana

Rim papers cartoon Moja inabeba rim ngapi?
Bei ya rim Moja kwa Bei ya Jumla ah. Ngapi?
 
Nipo ukonga Banana; Kampuni yangu inaitwa SHALOOM AFRICA ENTERPRISES njoo kwa muda wako namba yangu ni 0693784003 Karibu sana. Nina shida ya supplier wa Stationaries ukatapo pata bei ya rim paper kwa bei yangu elekezi nina order ya rim paper carton 50. Endelea kuwasikiliza hao watu ambao tayari wana maisha yao, wenyewe ni kupinga kila kitu. Ahsante sana
Nakuchek mkuuu
 
Salaam wakuu:

Kama ushamaliza chuo na bado hujaajiriwa kwenye taasisi yoyote ya serikali au private Tunajaribu kusaidiana na kukumbushana, japo hiki kitu vijana wengi wanafanya.

Acha kubet na kucheza kamali, na kunywa visungura kutoa press za kitaa.

Hiyo hela ya kuber fanya hv. Fungua kampuni au jina tu la biashara (fuata compliance zote) kwanzia Certicate of incorporation/ Certificate of registration, TIN, Tax clearance pamoja na leseni. Kajiunge kwenye platform ya kuomba tender serikalini au taasisi za serikali.

Then, wakati unasubiri chukua tena compliance zako tafuta kampuni zinazoeleweka, anza kuomba tender ndogondogo hata kama utapata tender ambayo faida yake ni laki mbili tu, wewe komaa tu. Tafuta experience kwanza, then marafiki zako wawe watu wa procurement na wahasibu kwenye hizo kampuni.

Ukifanya hivi mwaka mmoja tu, tayari utakuwa ushajua principles zote za kufanya bidding.

Nimeamdika kwa kifupi sana. Lakini nia yangu ni kwamba wakati unasubiri kuajiriwa na kutumwa basi wewe fikiria kuwa supplier.

Ukiamini kwenye ndoto zako, ukasali, ukatoa sadaka kwa imani kwenye dhehebu lako. Hautasota sana kama kukaa nyumbani na kusubiria ajira.

Kama upo interested njoo PM Nitakujsajilia kampuni au jina la biashara na kukupa utaratibu wote.

Nawasilisha
We jamaa wewe, au basi.
 
Ahsante kwa tusi zuri limeniingia kweli kweli, Naomba wewe sasa niambie njia gani nzuri ya kijana aliyemaliza chuo na hana kazi yoyote. Na pia kumbuka ninachofanya mimi ni kwamba namurlekeza kila kitu ila na yeye pia aweze kuwafanyia au kuwafungulia wenzake kampuni ama jina la biashara, Na ndio maana nimesema tunasaidiana, sasa kuliko kunitukana basi toa option nyingine ili vijana wasome na wafuate mawazo yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo nao unawaelekeza wawafungulie watu kampuni?
 
Back
Top Bottom