Vijana wa leo, kama umefikisha miaka 30 na huna kazi ya maana fanya hivi

Vijana wa leo, kama umefikisha miaka 30 na huna kazi ya maana fanya hivi

Kijana najua tupo tunapambana. Ukitaka kumsaidia mtu mpe msaada kamili na sio kimafungu. Hujui kuna tenda zina vigezo vya kimtaji na uwezo wa uhalisia? Mbona katika 'msaada' wako hujawasanua? Tusiwatumie watu wasio na ajira kuwafanya daraja.

Nadhani sasa uje na tangazo lingine kuwakaribisha kwako waje wajifunze usajili wa kampuni na compliance nyinginezo na huo ndio utakua msaada mzuri zaidi
Point yangu na yako havijatofautiana sana tatizo watu wameanza kujibu kwa mihemko.
 
Dah ! ,Nchi ngumu sana hii kmamaee kwa kijana wa familia duni kutoboa tena bila backup yoyote ,
Halafu kila mtu motivation speaker .
Yaani vijana wa tz wengi tunapitia mental depression Kali mno

Bora kuzaliwa mbwa Ulaya kmanina
Niliuliza swali hapo juu kimtego nijue kama kweli ana nia ya kuwasaidia hao anaowasema hawana kazi😂😂😂 yaani mtu hana mtaji unamwambia akaombe tenda serikalini au hata taasisi binafsi? Hixi taasisi zinazolupa baada ya miezi 6 hadi mwaka? Akaombe tenda serikalini ambako kulipwa ni hadi ukaribie kukata roho?

Kimsingi alikua anataka kutangaza kazi yake ya kusajilia watu biashara.
 
Salaam wakuu:

Kama ushamaliza chuo na bado hujaajiriwa kwenye taasisi yoyote ya serikali au private Tunajaribu kusaidiana na kukumbushana, japo hiki kitu vijana wengi wanafanya.

Acha kubet na kucheza kamali, na kunywa visungura kutoa press za kitaa.

Hiyo hela ya kuber fanya hv. Fungua kampuni au jina tu la biashara (fuata compliance zote) kwanzia Certicate of incorporation/ Certificate of registration, TIN, Tax clearance pamoja na leseni. Kajiunge kwenye platform ya kuomba tender serikalini au taasisi za serikali.

Then, wakati unasubiri chukua tena compliance zako tafuta kampuni zinazoeleweka, anza kuomba tender ndogondogo hata kama utapata tender ambayo faida yake ni laki mbili tu, wewe komaa tu. Tafuta experience kwanza, then marafiki zako wawe watu wa procurement na wahasibu kwenye hizo kampuni.

Ukifanya hivi mwaka mmoja tu, tayari utakuwa ushajua principles zote za kufanya bidding.

Nimeamdika kwa kifupi sana. Lakini nia yangu ni kwamba wakati unasubiri kuajiriwa na kutumwa basi wewe fikiria kuwa supplier.

Ukiamini kwenye ndoto zako, ukasali, ukatoa sadaka kwa imani kwenye dhehebu lako. Hautasota sana kama kukaa nyumbani na kusubiria ajira.

Kama upo interested njoo PM Nitakujsajilia kampuni au jina la biashara na kukupa utaratibu wote.

Nawasilisha

N kwl ila inaitaji ujasr na kujitowa kwa jasho na dam kwa mfano mm niliaza kwa saplai maind kwa mashne za mtaa dengu kweny masoko naenda uko minada ya wamaasai mirongo ksongo na komoro kpnd ilikuwa ya mavuno bei inakuwa nzr ukleta kweny masoko yako ilnakulipa saiv naenda dodoma naleta fillets Arusha na supply kweny hotel na makampun kwaiyo kwl n watu watafute fursa na kuumiza kchwa
 
Mkuu wewe unaeleweka sio huyu boya anasema mtu akurupuke kufungua kampuni huku mtaji hana.
 
Namuunga mkono mtoa mada, alichowasilisha ni kitu muhimu sana. Japokuwa naweza kutofautiana nae katika baadhi ya vipengele.

Kiujumla hizo legal documents nyingi hazina gharama kubwa kuzipata, na kuwa nazo kunakutengenezea fursa kubwa kwa wawekezaji/washirika kama una wazo zuri la biashara.

Kiufupi inakutengenezea mazingira ya kuonekana uko serious na unachokifanya, na ni rahisi kupewa kipaumbele katika mambo mengi.

Ama katika upande wa kufungua kampuni au jina la biashara, nashauri zaidi jina la biashara. Gharama za usajili na uendeshaji ni ndogo. Kampuni ina gharama kubwa kote, na katika uendeshaji kuna penalts kubwa ukichelewa kusubmit baadhi ya vitu.

Pia kwa wadau ambao "wamemuwakia" mtoa mada aliposema atawatoza huduma za usajili, ni rahisi tu, kama unaona wazo ni zuri hizo taratibu unafanya mwenyewe wala sio ngumu.

Huduma nyingi ni online, BRELA (Usajili), TAUSI (Leseni), TRA (Mapato). Nadhani hapa JF huwezi kukosa mtu wa kukuelekeza bila malipo kama utakuwa mgeni kwenye kutumia hizo portals. Lakini mtu kukusajilia BURE ni jambo gumu tuwe SERIOUS.
 
Jajajajahaja umenichekesha sana mkuu, umenikumbusha stories ya jamaa yangu alifanya unavyosema akakodisha fremu pale Millenium Towers tulimshauri sana aache huo ujinga akawa mbishi, leo hii ana deni zaidi ya milioni 20 na hajui anaipataje, kuna mambo tusipotezane
Kiongozi sio lazima uwe na fremu kupata hizo legal documents. Kwa wale wapenzi wa simulizi za analyse watakuwa wanakumbuka ushauri aliopewa na yule "Mzee" wa kufungua kampuni hata kama hana fremu.

Tuchukulie mfano kwa vijana ambao ni mawinga wa bidhaa tofauti tofauti, unasajili jina la biashara 20,000, leseni minimum 80,000 (biashara zingine 200,000 kuendelea), Tin no. na tax clearance <300,000> (muhula wa kwanza - kutegemeana na eneo).

Ukianza kukusanya hizo document kidogo kidogo huku unaendelea na mishe zako, pakitiki kidogo unafungua hata kagoli (100,000 - 200,000/month). Hapo tayari wateja wako wakitaka kuja ofisi unayo.

Kiujumla kijana akijiongeza vizuri panapo majaliwa mambo yanaenda maana hela ndogo ndogo huwa tunazipata tatizo namna ya kuzitumia
 
Akaombe tenda serikalini hii kauli ni nzito pana ndefu kibongobongo
 
Back
Top Bottom