Vijana wa leo, kama umefikisha miaka 30 na huna kazi ya maana fanya hivi

Mwishoni unaficha taarifa kwa kusema gharama za serikali unalipa wewe ila huzitaji hizo gharama zikoje
Nimesema na iko hivi jina la gharama za serikali ni 2000/= kampuni ni 247200/= Kwa kampuni pia makadirio ya kwa new case unashauriwa kufile 0.0 so utalipia withholding Tax ambayo inategemea mkataba wako wa pango, then kwenye leseni utalipia kutokana na biashara yako. Ila gharama zote za mwanasheria nalipa mimi.
 
Jajajajahaja umenichekesha sana mkuu, umenikumbusha stories ya jamaa yangu alifanya unavyosema akakodisha fremu pale Millenium Towers tulimshauri sana aache huo ujinga akawa mbishi, leo hii ana deni zaidi ya milioni 20 na hajui anaipataje, kuna mambo tusipotezane
 
Wewe mpuuzi huoni kama hili wazo lako halina tofauto yoyote na kamari?
 
Mimi nitaendelea kuweka uzi huu, na natafuta njia ambazo ni halali kabisa za kupata kipato. Ndio maana nimewaomba hizo hela wanazoenda kubet si bora waanzishe kampuni hata tu ya kufagia ofisi na kulipwa kwa mifumo ya tender
Hili wazo lako pia ni ku-bet. Unadhani hizo tenda zinatolewa tu bila kuangalia uwezo wa kifedha alio nao bidder? Hujui kuna ku-submit bank statement wakati wa kuomba tenda? Acha kushauri ujinga.
 
😅
 
Kijana najua tupo tunapambana. Ukitaka kumsaidia mtu mpe msaada kamili na sio kimafungu. Hujui kuna tenda zina vigezo vya kimtaji na uwezo wa uhalisia? Mbona katika 'msaada' wako hujawasanua? Tusiwatumie watu wasio na ajira kuwafanya daraja.

Nadhani sasa uje na tangazo lingine kuwakaribisha kwako waje wajifunze usajili wa kampuni na compliance nyinginezo na huo ndio utakua msaada mzuri zaidi
 
Nahitaji
 
Nakukumbusha kwamba hela zao za kubeti ni jero jero sasa jero ndo ifungue kampuni?
 

Rim papers cartoon Moja inabeba rim ngapi?
Bei ya rim Moja kwa Bei ya Jumla ah. Ngapi?
 
Nakuchek mkuuu
 
We jamaa wewe, au basi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo nao unawaelekeza wawafungulie watu kampuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…