Point yangu na yako havijatofautiana sana tatizo watu wameanza kujibu kwa mihemko.Kijana najua tupo tunapambana. Ukitaka kumsaidia mtu mpe msaada kamili na sio kimafungu. Hujui kuna tenda zina vigezo vya kimtaji na uwezo wa uhalisia? Mbona katika 'msaada' wako hujawasanua? Tusiwatumie watu wasio na ajira kuwafanya daraja.
Nadhani sasa uje na tangazo lingine kuwakaribisha kwako waje wajifunze usajili wa kampuni na compliance nyinginezo na huo ndio utakua msaada mzuri zaidi
Niliuliza swali hapo juu kimtego nijue kama kweli ana nia ya kuwasaidia hao anaowasema hawana kazi😂😂😂 yaani mtu hana mtaji unamwambia akaombe tenda serikalini au hata taasisi binafsi? Hixi taasisi zinazolupa baada ya miezi 6 hadi mwaka? Akaombe tenda serikalini ambako kulipwa ni hadi ukaribie kukata roho?
Kimsingi alikua anataka kutangaza kazi yake ya kusajilia watu biashara.
Salaam wakuu:
Kama ushamaliza chuo na bado hujaajiriwa kwenye taasisi yoyote ya serikali au private Tunajaribu kusaidiana na kukumbushana, japo hiki kitu vijana wengi wanafanya.
Acha kubet na kucheza kamali, na kunywa visungura kutoa press za kitaa.
Hiyo hela ya kuber fanya hv. Fungua kampuni au jina tu la biashara (fuata compliance zote) kwanzia Certicate of incorporation/ Certificate of registration, TIN, Tax clearance pamoja na leseni. Kajiunge kwenye platform ya kuomba tender serikalini au taasisi za serikali.
Then, wakati unasubiri chukua tena compliance zako tafuta kampuni zinazoeleweka, anza kuomba tender ndogondogo hata kama utapata tender ambayo faida yake ni laki mbili tu, wewe komaa tu. Tafuta experience kwanza, then marafiki zako wawe watu wa procurement na wahasibu kwenye hizo kampuni.
Ukifanya hivi mwaka mmoja tu, tayari utakuwa ushajua principles zote za kufanya bidding.
Nimeamdika kwa kifupi sana. Lakini nia yangu ni kwamba wakati unasubiri kuajiriwa na kutumwa basi wewe fikiria kuwa supplier.
Ukiamini kwenye ndoto zako, ukasali, ukatoa sadaka kwa imani kwenye dhehebu lako. Hautasota sana kama kukaa nyumbani na kusubiria ajira.
Kama upo interested njoo PM Nitakujsajilia kampuni au jina la biashara na kukupa utaratibu wote.
Nawasilisha
N kwl ila inaitaji ujasr na kujitowa kwa jasho na dam kwa mfano mm niliaza kwa saplai maind kwa mashne za mtaa dengu kweny masoko naenda uko minada ya wamaasai mirongo ksongo na komoro kpnd ilikuwa ya mavuno bei inakuwa nzr ukleta kweny masoko yako ilnakulipa saiv naenda dodoma naleta fillets Arusha na supply kweny hotel na makampun kwaiyo kwl n watu watafute fursa na kuumiza kchwaSalaam wakuu:
Kama ushamaliza chuo na bado hujaajiriwa kwenye taasisi yoyote ya serikali au private Tunajaribu kusaidiana na kukumbushana, japo hiki kitu vijana wengi wanafanya.
Acha kubet na kucheza kamali, na kunywa visungura kutoa press za kitaa.
Hiyo hela ya kuber fanya hv. Fungua kampuni au jina tu la biashara (fuata compliance zote) kwanzia Certicate of incorporation/ Certificate of registration, TIN, Tax clearance pamoja na leseni. Kajiunge kwenye platform ya kuomba tender serikalini au taasisi za serikali.
Then, wakati unasubiri chukua tena compliance zako tafuta kampuni zinazoeleweka, anza kuomba tender ndogondogo hata kama utapata tender ambayo faida yake ni laki mbili tu, wewe komaa tu. Tafuta experience kwanza, then marafiki zako wawe watu wa procurement na wahasibu kwenye hizo kampuni.
Ukifanya hivi mwaka mmoja tu, tayari utakuwa ushajua principles zote za kufanya bidding.
Nimeamdika kwa kifupi sana. Lakini nia yangu ni kwamba wakati unasubiri kuajiriwa na kutumwa basi wewe fikiria kuwa supplier.
Ukiamini kwenye ndoto zako, ukasali, ukatoa sadaka kwa imani kwenye dhehebu lako. Hautasota sana kama kukaa nyumbani na kusubiria ajira.
Kama upo interested njoo PM Nitakujsajilia kampuni au jina la biashara na kukupa utaratibu wote.
Nawasilisha
Mkuu wewe unaeleweka sio huyu boya anasema mtu akurupuke kufungua kampuni huku mtaji hana.N kwl ila inaitaji ujasr na kujitowa kwa jasho na dam kwa mfano mm niliaza kwa saplai maind kwa mashne za mtaa dengu kweny masoko naenda uko minada ya wamaasai mirongo ksongo na komoro kpnd ilikuwa ya mavuno bei inakuwa nzr ukleta kweny masoko yako ilnakulipa saiv naenda dodoma naleta fillets Arusha na supply kweny hotel na makampun kwaiyo kwl n watu watafute fursa na kuumiza kchwa
Kiongozi sio lazima uwe na fremu kupata hizo legal documents. Kwa wale wapenzi wa simulizi za analyse watakuwa wanakumbuka ushauri aliopewa na yule "Mzee" wa kufungua kampuni hata kama hana fremu.Jajajajahaja umenichekesha sana mkuu, umenikumbusha stories ya jamaa yangu alifanya unavyosema akakodisha fremu pale Millenium Towers tulimshauri sana aache huo ujinga akawa mbishi, leo hii ana deni zaidi ya milioni 20 na hajui anaipataje, kuna mambo tusipotezane
Tucheke wote😆Kumbe ulikuwa unajitafutia ugali
Kulingana na sheria mpya ya fedha ya 2024 sasa hivi ni laki 3.kusubmit PAYE ukichelewa tu unalipa 225,000 kila mwezi.