Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hii topic ni ya mahusiano, suitable for MMU.
Ulimwengu na Taifa letu Kwa ujumla linapitia katika transformation kubwa ambayo ina athari kubwa sana, Sasa Kwa ambao at least tumezaliwa miaka ya 70's au nyuma zaidi tuna wajibu wa kushare experience na kuwapa muongozo vijana wa leo.
Nimewiwa kuandika haya you never know naweza kumsaidia andiko hili hata mtoto wangu wa kumzaa, maana kama hawatusikilizi majumbani basi tuwasaidie huku huku mtandaoni.
Mila zipo leo nitawapa ushuhuda wa mtoto kuzaliwa na kuwa na kitovu kikubwa hii ilinitokea Kwa fisrt born wangu kitovu kikawa kinazidi kukuwa, Sasa Dawa niliyofundishwa na wazee wa kimila ni kupika nyama halafu Dada yangu ndio ale ile nyama huku akilambalamba kitovu cha mtoto, then unamfunga sarafu Kwa plasta kwenye kitovu.
Sasa kimbembe Dada zangu Wawili mmoja yupo Uingereza na mmoja yupo Switzerland mmoja yupo Tanzania na ndio alikuwa Chui na paka na wife na hata Mimi undugu wetu ulikuwa wa machale tu.
Nilimshauri wale walipo ulaya anaoiva nao ni ngumu kuwapata Kwa wakati, huyu huyu chamkwale aliyepo ajishushe tu kwake aje kumfanyia mila mtoto, basi nikamuita akaja tujafañyba kama tulivyoelekezwa na kumuka sarafu kwenye kitovu na kufunga plasta.
Baada ya mawiki kadhaa tulitowa plasta na kitovu kulikuwa normal kama binadamu mwingine anavyotakiwa kuwa.
Hapo hakuna uganga wala uchawi uliofanyika Bali mila na imagine inahitajika mtu specific kabisa mwenye uhusiano Fulani ndio afanye hivi.
Kwahiyo vijana wa Sasa wengi wanajazana ujinga Kwa mengi kama kataa ndoa and blabla kibao tuwasaidie, ni kweli kuna mila potofu zipo tuachane nazo lakini bado mila zipo na zina supernatural kabisa.