Vijana wa miaka 20-29 tukutane hapa

Mimi Nauza Vumbi La Kongo
Ivi Hii Nayo Si Ajira Vijana Wenzangu?
 
mods wameondoa ule uzi wa 2011 ingawa sijafanikisha sijui utanisaidiaje huko tanda hamna wataalamu?
Usijali mjukuu wangu...Haiwezekani muda wote huu uwe hujapata mwenzi. Nitakutafutia binti huku Tandahimba..
 
Mimi Nauza Vumbi La Kongo
Ivi Hii Nayo Si Ajira Vijana Wenzangu?
Ni ajira nzuri tu,

Kwasababu vijana tulio wengi tunawaza ngono na mikao adimu kunako uwanja wa fundi seremala.

Unaunza Tsh. Ngapi kilo moja..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…