Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu ungefanya walau 26-35 maana hao 20 age wengi wao bado wako mashuleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu ungefanya walau 26-35 maana hao 20 age wengi wao bado wako mashuleni.
[emoji122][emoji122][emoji122]Asante kwa swali zuri, jibu hapo linaweza kuwa ndio na upande mwingine hapana..
Nasema ndio kwa sababu kuna baadhi ya vijana wanajua majukumu yao, wajibu na thamani katika ngazi ya familia, jamii na taifa kwa ujumla..na hii inatokana na misingi ya malezi waliyoyapata kutoka kwa walezi wao...pia elimu waliyopata imewasaidia kujitambua na kujua wajibu wao ni nini...Mathalani leo hii kuna vijana ni nguzo kubwa kwa familia (wanategemewa) kutokana na kuwa waliona fursa na wakazifanyia kazi. Kazi wanayofanya inasaidia kukuza familia, jamii na hata taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kimaendeleo... Misingi mizuri ya malezi ya maisha imewafanya wawe bora na mfano wa kuigwa katika jamii yetu tunayoishi kwa hiyo utaona ni jinsi gani wanatimiza majukumu yao na wajibu huku wakiilinda thamani yao...
Kwa upande wa HAPANA PIA, naweza kusema pia kuna ambao (baadhi) hawajajua thamani, wajibu na majukumu katika familia,jamii na taifa kwa ujumla..
Leo hii tunashuhudia vijana wengi wakichagua kazi, kuishi vijiweni kupiga soga na kuishia kuilalamikia serikali kila kukicha..Wao ni kula kulala tu, yaani wapowapo... Wengi wao ni "Fuata mkumbo" na ndio husababisha kukithiri kwa tabia hatarishi kama utumiaji wa madawa ya kulevya, ukahaba na ujambazi..ila laiti kama wangebadili fikra na kuumiza kichwa haya mambo mabaya tusingeyasikia kamwe na ninaamini vijana tungeamka na taifa lingesonga mbele kwa maana kama ujuavyo VIJANA NI TAIFA LA LEO NA NGUVU KAZI YA TAIFA...
Kwa hiyo kwa kumalizia, ningependa kuwaasa vijana tuamke, tuache ukorofi na tuchape kazi kwa sana.. Utandawazi usitupumbaze tukajisahau kabisa...
Tuwe na maadili mazuri ili vizazi vijavyo vijifunze mema kwa manufaa ya familia, jamii na Taifa kwa ujumla kimaendeleo...
Asante...
Sijasoma ulichoandika ila nimepita tu kuuliza na wewe upo kundi hili?Asante kwa swali zuri, jibu hapo linaweza kuwa ndio na upande mwingine hapana..

HapanaHahaha
Wewe ni mhenga eeh
Wee umenifanya niyatambue hayo.Je,vijana tunatambua thamani yetu,wajibu wetu pamoja na majukumu yetu katika ngazi ya familia,jamii na Taifa kwa ujumla!?
HayaHapana
Sijambo shikamoHaya
Hujambo mdogo wangu
Pacha upo...nimekumiss hatariKizazi hiki ni janga la taifa.....
kizazi cha ukomboz wa taifaKizazi hiki ni janga la taifa.....
Kizazi hikikizazi cha ukomboz wa taifa
[emoji19] [emoji19] [emoji19]Sijasoma ulichoandika ila nimepita tu kuuliza na wewe upo kundi hili?
Mkuu, kuna grades za watu kwenye psychological classifications depending on various scholars' thoughts,,,Dhumuni na lengo la kutaka vijana wa miaka 20 mpaka 29 tukutane hapa ni kutokana sisi vijana tuna mawazo tofauti na pia hatupishani sana kwenye mambo binafsi kwahiyo inaweza kuwa vyema tukikutana hapa tukibadilishana mawazo na kufurahi kwa pamoja.
naunga mkono hojaMe nashauri tusioe tu mapema ama vipi?