Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
haswaa hujakosea kabisa mkuuVipi kijana kwani nawe umo? Ili nijitwalie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haswaa hujakosea kabisa mkuuVipi kijana kwani nawe umo? Ili nijitwalie?
We Yann[emoji23]Vijana wenzangu grease tunaipataje aisee....
Maana huku kitaani sipaelewi...
Kijana sio taifa la kesho..ni taifa la leo tena lenye nguvu na mauwezo kibao..Vijana ndio taifa la kesho
mim mwenyewe sijafika 26Mkuu ungefanya walau 26-35 maana hao 20 age wengi wao bado wako mashuleni.
wa kwanza mim26-35 wengine tutakosa pa kwenda mkuu
wew unayo kwan ajira?Niwashauri jambo moja vijana najua hamna ajra kwa sasa Tafuta elfu hamsin weka kwenye ac yako ya sport pesa anza kubet kwa siku unatandika mikeka yako 20 ya elfu mbili mbili then unakaa kusubr wapi pataitika
Sijambo dada yangu hebu saidia mawazo kdogo umekula chumvi nyingi baada ya hapo uondokeHamjambo wadogo zangu?!
Cheka tuu mkuuHahahahaha, [emoji3] [emoji3] [emoji3] Sakayo umenifanya nicheke
Mnazungumzia nini mdogo wanguSijambo dada yangu hebu saidia mawazo kdogo umekula chumvi nyingi baada ya hapo uondoke
dada yang hapa 2nazungumziaMnazungumzia nini mdogo wangu
Ni kweli ila tusaidiane kujulishana fursa wakuuNi kweli hiyo ndio njia pekee ya kujikomboa kwasababu hui mtumwa wa mtu yeyote unakuwa huru kijipangia mipango yako ya maisha na maendeleo
hahahaBora mmeamua kujianzishia uzi wenu, maana mnasumbua sana. Kwenye nyuzi zinazolenga hoja fikirishi huwa mnazingua
Watakuwa hawajambo kabisa [emoji38][emoji38]Hamjambo wadogo zangu?!
Wakikujibu nitagJe,vijana tunatambua thamani yetu,wajibu wetu pamoja na majukumu yetu katika ngazi ya familia,jamii na Taifa kwa ujumla!?
HahahaWatakuwa hawajambo kabisa [emoji38][emoji38]
Eeeh![emoji30][emoji30]Kwenye mitandao humu huwa kuna maada nzur tuu na mijadala mizur lkn huishia humu humu mitamdaoni hebu tubadilike tukutane tuongeee tutafute suluhu....