nexus
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 374
- 164
nachubiri ebwana eeeKhaaaaaa.... Wajukuu mna mambo nyie...Yaaani huoni haya kumuomba Bibi nauli?? Hayaaa...Subiri nikiuza korosho nitakutumia nauli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nachubiri ebwana eeeKhaaaaaa.... Wajukuu mna mambo nyie...Yaaani huoni haya kumuomba Bibi nauli?? Hayaaa...Subiri nikiuza korosho nitakutumia nauli.
Hahahahaaaa....Basi saawa..!!nachubiri ebwana eee
naogopa kula samaki nchanga na fungo tukutane jfKaribu sana Tandahimba mjukuu wangu.
mods wameondoa ule uzi wa 2011 ingawa sijafanikisha sijui utanisaidiaje huko tanda hamna wataalamu?Hahahahaaaa....Basi saawa..!!
Usijali mjukuu wangu...Haiwezekani muda wote huu uwe hujapata mwenzi. Nitakutafutia binti huku Tandahimba..mods wameondoa ule uzi wa 2011 ingawa sijafanikisha sijui utanisaidiaje huko tanda hamna wataalamu?
Ni ajira nzuri tu,Mimi Nauza Vumbi La Kongo
Ivi Hii Nayo Si Ajira Vijana Wenzangu?
PmNi ajira nzuri tu,
Kwasababu vijana tulio wengi tunawaza ngono na mikao adimu kunako uwanja wa fundi seremala.
Unaunza Tsh. Ngapi kilo moja..?
Njooo tuungane tuwe mwili mmoja ili tuweze kuwafikia mdogo mwenzangutulio na 19 vipi?
Daah kweli yaani humu ukiwa mdogo unazaraurika mnoNjooo tuungane tuwe mwili mmoja ili tuweze kuwafikia mdogo mwenzangu
Cjambo shkamooo BibHamjambo wadogo zangu?!
Hamjambo wadogo zangu?!