Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana wewe huwa hunisomi. Maandishi yangu mengi sana yamo humu kuhusu lawama zinazotupiwa waTanzania wote, siyo hao vijana pekee, na kuitwa kuwa ni "MAITI, WAJINGA, WAPUMBAVU", yote ambayo siku zote sikubaliani nayoSijui kwann huwa mnapenda kuona vijana wa kitanzania hawana wanalojua wala kuelewa kisa tu hawapendelei violence kama njia ya kutatua matatizo
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa kasoro unasema vijana wetu hawajitambui hapo ndio napata shida kidogoInaonekana wewe huwa hunisomi. Maandishi yangu mengi sana yamo humu kuhusu lawama zinazotupiwa waTanzania wote, siyo hao vijana pekee, na kuitwa kuwa ni "MAITI, WAJINGA, WAPUMBAVU", yote ambayo siku zote sikubaliani nayo
Sasa wewe leo hapa umenisoma kwenye kisehemu hicho kidogo tu, na kuhitimisha kama ulivyo fanya hapa.
Na hilo la "kutopenda violence..." usifikiri ni wewe umelileta hapa leo kwa mara ya kwanza. Mara zote tunahimiza hilo. Sasa wakati waTanzania hawapendi 'violence' lakini wanafanyiwa 'violence' na hao hao wanao himiza 'violence' isiwepo, wakati wao ndio wanaichochea; hapo sijui wewe una maoni gani juu yake? Tueleze sasa unapendekeza nini kifanyike? Watu wabaki tu wakifanyiwa 'violence' na kuikubali kuwa ndiyo haki yao?
Na sita shangaa ukija haa na kuniuliza ni 'violence' gani waTanzania wanafanyiwa! Lakini ngoja nikuache nione kama unaweza kutumia akili mwenyewe bila ya kushikiwa na mtu yeyote yule.
Hakuna lolote ninaloweza kubadilisha katika hayo niliyo andika hapo juu na wewe ukayajibu. Baadhi ya wale vijana wa Kenya wameonyesha kujitambua vizuri sana na kutambua mwelekeo wa nchi yao vizuri kabisa, kuliko nilnavyo ona hapa kwetu ambapo kazi kubwa sasa ni kujitangaza "uchawa"; jambo linalo sikitisha sana kwa binaadam mwenye akili timamu kujitangaza.
Sasa wewe role model wa Taifa mnachaguliwa hao, sasa kijana wa chuo kikuu atafanyaje, wenyewe wanasema unapotezea.
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Nyota wao sio wasaniiNawasikiliza hao madogo hapo Citizens tv
Wametisha sana
No CHAWA 🐼
Viongozi wenyewe wanaamini ktk PhD za kupewa na zakununuaShida inaanzia kwenye mfumo wa elimu yetu. Ukitaka kuliangamiza taifa gusa elimu.
Sio Tanzania pekeee hata Ulaya na Marekani vijana wana utofauti sana na wazee wao waliochuma mali na kujenga nchi zao kwa kazi ngumu,vita,maradhi na ufukara.Shida inaanzia kwenye mfumo wa elimu yetu. Ukitaka kuliangamiza taifa gusa elimu.
Kenya Wana njaa
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Huyo ni akili kubwa mkuu, wewe tafuta contact ya gigy moneyNaomba contacts za huyo demu apo juu
Kwani hao vijana wa Kenya, walikuta mifumo siyo kandamizi? Mbona wao wanapambana lkn vijana wa TZ wamekalia kubeti na kudanga tu?Tatizo vijana wa zamani mnajisahu kama ninyi ndiyo chanzo cha haya yanayoendelea hapa hivi, mnakimbilia kutuma lawama kwa vijana wa sasa ambayo wamekuta mifumo yenu kandamizi na hovyo ninyi vijana wa zamani.
Hallelujah!!!
tuache bwana tuna jambo letu
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Elimu mkuu, mjinga mmoja akatuletea waalimu wa UPE, Shetani mmoja akaruhusu Mazingaombwe mashuleni, bado akajiongeza akampa kibali mchawi mmoja aitwae KABWERE atoe wachawi nchi nzima, likaja neno zidumu FIKRA, kwa hayo machache uwezo wa kujadili sera na mustakabali wa taifa letu tutaupata wapi, wakati tunaogelea kwenye bahari ya Ujinga na Upumbavu huo, Kenya wanapambana na kitabu, tukataka tuwashinde, mwamba mmoja akatoa wazo, tukapunguza alama za kufaulu ili ufaulu uongezeke, tukajikuta tunafaulisha wapumbavu watupu, haya mwingine akashauriana na mkewe kitandani usiku kesho kaja na muswaada, ubunge darasa la saba waruhusiwe, ndo tukawapata Msukuma na Lusinde, wajinga wa elimu wanatunga sheria za nchi looh, tusubiri wakati wa Mungu kwani hauko mbali kuna "KIDUDU" mtu anashughulikiwa hapo mtaa wa 2.
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Vijana gani mkuu? Hawa wanaoshinda kutwa nzima wanajadili simba na yanga??
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Shida inaanzia kwenye mfumo wa elimu yetu. Ukitaka kuliangamiza taifa gusa elimu.