Vijana wa miaka 20 Kenya wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa Tanzania wanakwama wapi?

Tatizo vijana wa zamani mnajisahu kama ninyi ndiyo chanzo cha haya yanayoendelea hapa hivi, mnakimbilia kutuma lawama kwa vijana wa sasa ambayo wamekuta mifumo yenu kandamizi na hovyo ninyi vijana wa zamani.

Hallelujah!!!
 
Sijui kwann huwa mnapenda kuona vijana wa kitanzania hawana wanalojua wala kuelewa kisa tu hawapendelei violence kama njia ya kutatua matatizo
Inaonekana wewe huwa hunisomi. Maandishi yangu mengi sana yamo humu kuhusu lawama zinazotupiwa waTanzania wote, siyo hao vijana pekee, na kuitwa kuwa ni "MAITI, WAJINGA, WAPUMBAVU", yote ambayo siku zote sikubaliani nayo

Sasa wewe leo hapa umenisoma kwenye kisehemu hicho kidogo tu, na kuhitimisha kama ulivyo fanya hapa.

Na hilo la "kutopenda violence..." usifikiri ni wewe umelileta hapa leo kwa mara ya kwanza. Mara zote tunahimiza hilo. Sasa wakati waTanzania hawapendi 'violence' lakini wanafanyiwa 'violence' na hao hao wanao himiza 'violence' isiwepo, wakati wao ndio wanaichochea; hapo sijui wewe una maoni gani juu yake? Tueleze sasa unapendekeza nini kifanyike? Watu wabaki tu wakifanyiwa 'violence' na kuikubali kuwa ndiyo haki yao?

Na sita shangaa ukija haa na kuniuliza ni 'violence' gani waTanzania wanafanyiwa! Lakini ngoja nikuache nione kama unaweza kutumia akili mwenyewe bila ya kushikiwa na mtu yeyote yule.

Hakuna lolote ninaloweza kubadilisha katika hayo niliyo andika hapo juu na wewe ukayajibu. Baadhi ya wale vijana wa Kenya wameonyesha kujitambua vizuri sana na kutambua mwelekeo wa nchi yao vizuri kabisa, kuliko nilnavyo ona hapa kwetu ambapo kazi kubwa sasa ni kujitangaza "uchawa"; jambo linalo sikitisha sana kwa binaadam mwenye akili timamu kujitangaza.
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa kasoro unasema vijana wetu hawajitambui hapo ndio napata shida kidogo
 
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Sasa wewe role model wa Taifa mnachaguliwa hao, sasa kijana wa chuo kikuu atafanyaje, wenyewe wanasema unapotezea.
 
Shida inaanzia kwenye mfumo wa elimu yetu. Ukitaka kuliangamiza taifa gusa elimu.
Sio Tanzania pekeee hata Ulaya na Marekani vijana wana utofauti sana na wazee wao waliochuma mali na kujenga nchi zao kwa kazi ngumu,vita,maradhi na ufukara.
Factor zipo wazi
1.Malezi
2.Elimu
3.Mfumo wa nchi

4.Jambo zuri hawana stress ni bora kiafya.
 
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Kenya Wana njaa
 
Tatizo vijana wa zamani mnajisahu kama ninyi ndiyo chanzo cha haya yanayoendelea hapa hivi, mnakimbilia kutuma lawama kwa vijana wa sasa ambayo wamekuta mifumo yenu kandamizi na hovyo ninyi vijana wa zamani.

Hallelujah!!!
Kwani hao vijana wa Kenya, walikuta mifumo siyo kandamizi? Mbona wao wanapambana lkn vijana wa TZ wamekalia kubeti na kudanga tu?
 
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
tuache bwana tuna jambo letu
 
Attachments

  • Screenshot_20240717-191702_Instagram.jpg
    Screenshot_20240717-191702_Instagram.jpg
    406.8 KB · Views: 1

Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Elimu mkuu, mjinga mmoja akatuletea waalimu wa UPE, Shetani mmoja akaruhusu Mazingaombwe mashuleni, bado akajiongeza akampa kibali mchawi mmoja aitwae KABWERE atoe wachawi nchi nzima, likaja neno zidumu FIKRA, kwa hayo machache uwezo wa kujadili sera na mustakabali wa taifa letu tutaupata wapi, wakati tunaogelea kwenye bahari ya Ujinga na Upumbavu huo, Kenya wanapambana na kitabu, tukataka tuwashinde, mwamba mmoja akatoa wazo, tukapunguza alama za kufaulu ili ufaulu uongezeke, tukajikuta tunafaulisha wapumbavu watupu, haya mwingine akashauriana na mkewe kitandani usiku kesho kaja na muswaada, ubunge darasa la saba waruhusiwe, ndo tukawapata Msukuma na Lusinde, wajinga wa elimu wanatunga sheria za nchi looh, tusubiri wakati wa Mungu kwani hauko mbali kuna "KIDUDU" mtu anashughulikiwa hapo mtaa wa 2.
 
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.

Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.

Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.

Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Vijana gani mkuu? Hawa wanaoshinda kutwa nzima wanajadili simba na yanga??

Hawa wanaoshadadia uchawa na kulamba miguu ya wakubwa na wenye pesa??

Hawa wanaoshinda wanabet siku nzima??

Hawa wanaoshinda mtandaoni kufatilia mada za udaku, ngono na mambo mengine ya kipumbavu???.....vijana wetu bado sana mkuu na sidhani kama tutatoka kwenye huu upuuzi...priority yetu ni leo...kesho itajisort
 
Siku wakijuwa pesa wanazo tumbua mafisadi nizakwao ndio wataamka usingizini.
 
Back
Top Bottom