Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Uzuri unaficha ID ila JF ingekuwa na ID real tako lako sasa hivi lilikuwa ni mari ya wenye upwiruNenda Kenya au mwambie kijana wako aanzishe maandamano
Nakuunga mkono, Wakenya wanakumbuka shuka kumeshakucha. Matatizo yalianza utawala uliopita kwa kenyata. Ruto ama Sakayo kama wanavyomuita amepewa nchi tayari imejichokea. Nchi haikopesheki tena inabid ategemee mapato ya ndan na grants ili ajenge mashule, hospitali na mirad mingine ya huduma za kijamii. Ruto ana mapungufu ila hakua na namna zaid ya kuwakamua wananch(taxation).Tanzania na Kenya ni Chongo na Kipofu respectively
Kenya is more than 10 times corrupt to Tanzania. Mbaya zaidi corruption zenyewe za Kenya ziliasisiwa 1960s na viongozi waandamizi waliorithi ul'wa toka kwa Waingereza
Mbaya ya zaidi ya zaidi corruption yenyewe ilikuwa based on land grabbing
Ukiangalia sana Ruto is not a sole problem, he is part and parcel of the problem
Umewasifia wa Kenya kwamba ni mahiri wanazungumza wakijiamini. Lakini ukiangalia sana wao wanazungumzia zaidi juu ya dalili za tatizo na sio mzizi wa tatizo la Kenya. Wanachezeshwa comedy na akina Odinga, Uhuru na Ruto. Mzizi wa tatizo la Kenya ni land grabbing by fewer politicians
Katika uzalishaji the mother of all resources is Land, sasa Kama over 50% of Kenya's is owned by Kenyatta Family unatarajia nini ?
π€£Sisi ni taifa la kesho....tunasubiri hiyo kesho ifike
π΄π΄π΄
Kama wapo vijana hapa wanao jitambua, sijawaona wakijitokeza mbele watambulike. Siyo lazima kujitokeza kwa fujo, la hasha. Kuna njia nyingi sana sasa hivi za kujitambulisha wanakosimamia. Mbona wengi wao wanajitambulisha tena kwa madaha mengi, kuwa wao ni 'CHAWA'?Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa kasoro unasema vijana wetu hawajitambui hapo ndio napata shida kidogo
Umeegemea kona ya kipekee kidogo hapa ambayo inaibua mjadala mkubwa katika hali ya kawaida.Sio Tanzania pekeee hata Ulaya na Marekani vijana wana utofauti sana na wazee wao waliochuma mali na kujenga nchi zao kwa kazi ngumu,vita,maradhi na ufukara.
Factor zipo wazi
1.Malezi
2.Elimu
3.Mfumo wa nchi
4.Jambo zuri hawana stress ni bora kiafya.
Katiba ya Kenya inawalinda raia wake tofauti na hapa hivi.Kwani hao vijana wa Kenya, walikuta mifumo siyo kandamizi? Mbona wao wanapambana lkn vijana wa TZ wamekalia kubeti na kudanga tu?
Jomba nakukubal sana , wewe ndo mtu πHuyo ni akili kubwa mkuu, wewe tafuta contact ya gigy money
Mzee Mbowe ameharibu sana nyumbu aiseeVijana wa Tz kumwagiana tu
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo π³π
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
In Mzee Kenyatta voice π π π± R.I.PWote mlio above 30's mliwahi pita huu umri wa 20's......Nyie mkiwa kwenye 20's mlifanya nini mpaka saivi mnapata ujasiri wa kuwasagia kunguni madogo? Acheni unafiki Watanzania wote ni maiti kabla na baada ya uhuru
Wanasemaga mtoto umleavyo ndivyo akuavyo !πSawa mlikuwa na akili Haya mmefanya nini? Onesha/elezea mlichokifamya
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo πWazee wa bongo jau sana π€£π€£π€£
Hiv wakati wazee wa kenya wanapigania katiba mpya, wanapigania kuitoa KANU, niny mlikuwa mnafanya nn?
Msijifanye mnasahau upuuzi wenu
Mama samia punguza hasira.Wewe ukiwa na miaka 20 ulifanya nini kwa ajili ya nchi yako? Au nyie mnaowaponda vijana hamkupita kwenye ujana? Hawa vijana wa miaka 20 walijizaa wenyewe? Huwa nashangaa sana watu kuiona Kenya kama nchi fulani hivi ya ahadi wakati ni nchi iliyojaa ukabila na kuchukiana. Pia sera zao za kibepari zimesababisha uchumi wao wote kumilikiwa na familia chache. Kenya walishajivuruga tangu wanapata uhuru. Acheni upumbavu wa kujidharau mbele ya Kenya.
wanavipindi vingi vya kujadili mipira zaidi kuliko future yao na watoto waoVijana wa Tz kumwagiana tu