Huku tuna mjadili Magoma.
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya mahusiano ya siasa na maisha yake utaona anaanza kuelezea makalio ya Poshi Queen, kitovu cha Yammy, na maisha ya wasanii wengine.
Vijana wa Tanzania wako bize kufuatilia Simba na Yanga, "connection", madanga, uchawa na ujinga mwingine.
Wewe umeongea ukweli tupu.Wazazi wao hawajitambui pia. Maana wajinga wa leo ndo genZ ya miaka iliyopita.
Mkuu tukipigania katiba tunapigwa risasi na kuswekwa ndani n no body cares, na shida bado ziko pale pale.Huku uwaambie kula kimasihara, kupigania katiba aaah
Engineer anamlalamikia daktari, daktari anamlalamikia mwalimu, na mwalimu anamlalamikia mwanasiasa.Kila mtu analalamika hii nchi 🤣🤣 yeye hafanyi anategemea wengine wafanye
Manabii hua hawakubalikia kwao.Tz kilichobaki ni kuomba Mungu tu apatikane kiongozi shupavu... Kama Magufuli japokuwa wengine hawakumkubali ila in real kwa hali ambayo nchi ilifikia alijitoa sana... Ukisema uvunje vunje CCM unakufa siku chache tu...
Sisi vijana tukisema tuandamane, hatuandamani kuchapa viongozi.Itoshe kusem kwamba vijan wa tz wapo sahih ila wazee na watu wazima ni useless katika maendeleo ya nchi
Engineer anamlalamikia daktari, daktari anamlalamikia mwalimu, na mwalimu anamlalamikia mwanasiasa.
Mwishowe kazi kubwa inayofanyika hapa ni kulalamika tu