Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,290
1.kung"olewa jino kwa uzi
2.ubwabwa kupikwa j.pili tu
3.kidonda kuwekwa unga wa dawa wa rangi mbili
4.ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
5.kunyolewa kwa mkasi
6.kufunga pesa kwenye leso au pindola kanga
7.kwenda kuangalia sinema za ukimwi na lishe sokoni
8.kurewind kanda kwa pen
9.ndala kuchemshwa ili zisiishe
10.kucheza umeshikilia kaptula sababu mpira umekatika
11.kuchonga penseli kwa meno
12. Kukata ndala ati nikifutio
13.kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
14.kutosinziia kama wamepika wali home
15.kutumia unga betri kama ndo kiwi