South Africa inawezaje kuwa na uchumi mkubwa kiasi hiki wakati vijana karibu wote ni jobless

South Africa inawezaje kuwa na uchumi mkubwa kiasi hiki wakati vijana karibu wote ni jobless

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Nimewahi kufika South Africa uchumi wa south Africa ni mkubwa mno manake ni nchi iliyondelea sana ila ni nchi yenye jobless wengi mno

Roughly ukikutana na vijana 100 bas 36 ni pure jobless

.
Screenshot_20240928-165109.jpg

Screenshot_20240928-165033.jpg
 
Bas hao wako vizur sana ndo maana wana uchumi mkubwa kama kwenye 100 ni 30 tu jobless bas hao jamaa wako okay

Njoo bongo hapa kwenye 100 jua kabisa kwamba 95 ni jobless na hao 4 ndo wana ajira nao ni akina Abdul, riziwan ana akina flan pinda
 
Kila nchi ina eneo lako la uchumi ilikoegemea. Mfano Ethiopia ni mabingwa wa usafiri wa anga Africa ,ila raia wake wamechoka mbaya, kila siku wanazamia nje ya nchi.

Kwa case ya Sauzi, uchumi wameshikilia makaburu,wanachimba madini na kuuza, hapo
Kipato la taifa wanapaa
 
Bas hao wako vizur sana ndo maana wana uchumi mkubwa kama kwenye 100 ni 30 tu jobless bas hao jamaa wako okay

Njoo bongo hapa kwenye 100 jua kabisa kwamba 95 ni jobless na hao 4 ndo wana ajira nao ni akina Abdul, riziwan ana akina flan pinda
Kabisa kwa data zao wako vzr.
 
Bas hao wako vizur sana ndo maana wana uchumi mkubwa kama kwenye 100 ni 30 tu jobless bas hao jamaa wako okay

Njoo bongo hapa kwenye 100 jua kabisa kwamba 95 ni jobless na hao 4 ndo wana ajira nao ni akina Abdul, riziwan ana akina flan pinda
Sasa uku Hadi MD daktari kazi kupata ni mtiti.
 
Sauzi wapo vizuri kiasi ukilinganisha na nchi zingine zote za bars la Africa
 
Uchumi wa viwanda, automation na machinery, kazi nyingi za uzalishaji zinafanywa na mashine na uchumi wenyewe umeshikiliwa na watu weupe. Ardhi, real estates, mashamba na processing zote wameshikilia wao so hizi namba haziwahusu wazulu kwa asilimia kubwa
 
Hawa vijana wanaoenda South Africa wanajifanya wahuni nafsi zao zishakufa mara nyingi huwenda kufa uko
Ongeza maelezo hayatoshi kuelezea ni mistari miwili hii mada ni pana sana sio kuandikwa nukta km ulivyofanya. Ibua hoja zako.
 
Back
Top Bottom