Vijana wa Tanzania mnajiita Gen Z nyuma ya keyboard? Hawa ndio Gen Z

Gen Z ndio kizazi kinachokuja kuiokoa hii Dunia.

Hawataki stori sijui hadithi gani za kijinga, wanataka mabadiliko.

Hawa jamaa hawataki kuona unaishi maisha mazuri halafu unawapa hadithi za kijinga eti uzalendo, sijui utaifa, hizo hadithi hawana.
 
Leo nataka nibaki JF na rafk angu wa kike, wengine nendeni kwenye mpira mniachie jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…