Vijana wa Tanzania mnajiita Gen Z nyuma ya keyboard? Hawa ndio Gen Z

Tz chini ya dk Samia iko Ktk mikono salama, mnataka jenzii wa tz waingie barabarani ili iweje? Kwa maendeleo haya anayochapa Samia, jenzii hawawezi kufanya upuuzi wa kuandamana.
 
Life is too short,tumia muda wako kutafuta hela na kuzitumia.Na si kuandamana, kwani hii nchi utazikwa nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…