Vijana wa Tanzania tuamke; nchi inatafunwa na wazee na watoto wao nyie mnabaki kusifia

Vijana wa Kitanganyika walitakiwa kufanya zaidi ya Gen Z
 
Wasome kuhusu, self-absorbed group
 
Vijana wenyewe hawa kutwa nzima wanaongelea Simba, Yanga,Diamond na Hamonize.
 

Attachments

  • VID-20240704-WA0004.mp4
    6.4 MB
NYINYI WOTE NI WATUMWA KWASABABU MMEKUBALI MUWE HIVYO KWA HIARI.

FANYENI TU KAZI HAMNA NAMNA.

KAMMON!
 
Madako

Acha nikuitie ephen_

Hoya ephen_ njoo uchukue mtu wako huku
 
Hii awamu nchi inapigwa vibaya sana kupita awamu zote

Then wapigaji wanasema kazi iendelee! Mmmh!!

Hv wale vijana wa Kenya si ni kama sisi tu au ni tofauti!
 

Ndio kinacho endelea.. uko sahihi 200%
 
Kama tunapewa kitu kidogo hakuna shida
 
Wazee na watoto wao wameshatutia kwenye kapu la Uchawa ni ngumu sana kujinasua.

Kila kijana anadhani akiwa karibu tu na kiongozi anatoboa.

Cha ajabu yuko miaka 10 sasa hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…