Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
  • Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
  • Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
  • Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.

Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
 
Kisiwa cha amani na kisiwa cha uzombie ni vitu viwili tofauti.

"Ukiitaka AMANI jiandae kuipoteza HAKI na ukiitaka HAKI jiandae kuipoteza AMANI"

Sisi tumekubali kuwa wazee wa ndio mwenyewe unaipiga mwingi hata ukitaka kutuuza utumwani tuuze tu.
 
Wakenya wamechanganyikiwa vichwa vyao vibovu thus hata panadol ya kenya iko vzr inatuliza kichwa haraka
 
  • Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
  • Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
  • Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.

Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
Umewahi kumuona binadamu akichukia hadi kubadilika na kufanana na hayawani au umekalia kusifusifu tu kila siku?Humjui binadamu.
 
Mkuu umewahi kuitembelea Kenya na walau kuishi kwa siku kadhaa huko!?Au unalopoka ukiwa umeshiba mihogo na viazi??Mnajifanyaga kujuaaa kumbe utaahira umewajaa.
Dili na mambo ya TZ hapa acha kukandia usiyoyajua.Hata hivyo wew unaona hapa Tanzania tunaamani yenye haki?Tuna utulivu na amani ambayo inatokana na kile wanachosema wengi 'ilimradi uzima'!
 
  • Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
  • Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
  • Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.

Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
Hata wakijizima data poaz sisiz tunadundaz
 
Nikweli lakini shida ya wanasiasa (watawala) wanacheza na akili za watawaliwa. Wakisema vumilia unavumilia, kesho yake vumilia, unavumilia halafu wanakuona poyoyo. Kwahiyo matatizo sometimes wanayatengeneza. Hata kama ni magumu kutekelezeka basi angalau sema tunashindwa kutekekeza Kwa sababu 1,2,3 waTanzania ni waelewa sana. Lakini badala yake wanatoa maneno ya kubeza mara wameishiwa sera, mara wanaodai hiki na kile hawajitambui. Mara wanasiasa wasiwatumie wakati huo upande mwingine wanatutumia na kutuvisha t-shirt za wanazoziita foundations. Msitufanyie hivyo. Sasa hivi watu wanaojitambua 80%. Hata tulio vijijini.
 
  • Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
  • Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
  • Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hivi vyote ukiviweka kapu moja tutasema ni uwoga na ujinga kama hizi ndiyo zitakuwa njia za kufuata ili kuondokana na viongozi wa Kiafrika wasiokuwa na vision.
 
  • Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
  • Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
  • Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.

Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
Sisi ni mbumbumbu waoga! Mahali pa kuchukua hatua kwa pamoja sisi tunategeana.
Tanzania sio kisiwa cha amani, Tanzania ni kisiwa cha watu waoga.
Sisi tozo zinakuja zinapanda kwa namna watawala wanataka na hamna kitu tunafanya.
Mabaya tunayofanyiwa na viongozi wetu hayafiki hata robo ya yale wakenya wanafanyiwa lakini tuupo tu siku zinaenda.
Mwanamke mmoja wa kenya anaweza kusimama na wanaume 100 wa kitanzania .
Wanawake wa kitanzania wao ndio kabisa wanachojua ni kuomba hela tu.
Achana na yule ambaye yupo kwenye nafasi asiyostahili.
Watanzania tuna hasira imejificha tu moyoni. .
 
  • Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
  • Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
  • Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.

Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
Viongozi wa Tanzania walioko madarakani hawashitushwi na uvumilivu,diplomasia na mazungumzo,tunapovumilia na kutumia mazungumzo ndio kwanza wanacheka wanatuona watanzania ni wapumbavu wanaotakiwa kuliwa siku zote,mambo ya uvumilivu na mazungu mzo pamoja na kutumia diplomasia vingekuwa vinafanya kazi Tanzania tungekuwa tumepata katiba mpya.
 
Back
Top Bottom