Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

Kuna usemi ulisemwa kuwa Kenyata alimwambia Nyerere kuwa wewe unatawala maiti wakenya huwezi ukawatawala.
 
Kuna usemi ulisemwa kuwa Kenyata alimwambia Nyerere kuwa wewe unatawala maiti wakenya huwezi ukawatawala.
Na nikweli watz hatujui kati ya haki na hisani,,,,Leo mtu akijengewa zaganati anatandika vitenge barabarani
 
Wakenya wamechanganyikiwa vichwa vyao vibovu thus hata panadol ya kenya iko vzr inatuliza kichwa haraka
Kweli wewe mjinga. Ndio maana Mwigulu alikuambia uhamie Burundi Kama hutaki tozo ukaomba msamaha.
 
Acha tudharauliwe tu kama tumeambiwa ukiwa una umri wa miaka 40 na bado ni masikini tusiilaumu serikali tujialaumu wenyewe kwanini hata kwenye hayo mengine tusikubali tu...

But time will tell.......
 
Viongozi wa Tanzania walioko madarakani hawashitushwi na uvumilivu,diplomasia na mazungumzo,tunapovumilia na kutumia mazungumzo ndio kwanza wanacheka wanatuona watanzania ni wapumbavu wanaotakiwa kuliwa siku zote,mambo ya uvumilivu na mazungu mzo pamoja na kutumia diplomasia vingekuwa vinafanya kazi Tanzania tungekuwa tumepata katiba mpya.
Finally, ujumbe wako ni upi? Kipi kifanyike?
 
  • Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
  • Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
  • Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.

Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
"Kila mtanzania analaumu watanzania wengine ni wajinga hawaleti mabadiliko, na hao wanao laumiwa nao wanalaumu"
 
Back
Top Bottom