Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Umewahi kumuona binadamu akichukia hadi kubadilika na kufanana na hayawani au umekalia kusifusifu tu kila siku?Humjui binadamu.
- Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
- Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
- Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
Mwafaa ccmWakenya wamechanganyikiwa vichwa vyao vibovu thus hata panadol ya kenya iko vzr inatuliza kichwa haraka
Wamechanganyikwiwaje kama wana akili za kutengeneza panadol nzuri?Ungetueleza kwamba wanajitambua hadi wanashangaza.Wakenya wamechanganyikiwa vichwa vyao vibovu thus hata panadol ya kenya iko vzr inatuliza kichwa haraka
Hata wakijizima data poaz sisiz tunadundaz
- Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
- Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
- Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
Nikweli lakini shida ya wanasiasa (watawala) wanacheza na akili za watawaliwa. Wakisema vumilia unavumilia, kesho yake vumilia, unavumilia halafu wanakuona poyoyo. Kwahiyo matatizo sometimes wanayatengeneza. Hata kama ni magumu kutekelezeka basi angalau sema tunashindwa kutekekeza Kwa sababu 1,2,3 waTanzania ni waelewa sana. Lakini badala yake wanatoa maneno ya kubeza mara wameishiwa sera, mara wanaodai hiki na kile hawajitambui. Mara wanasiasa wasiwatumie wakati huo upande mwingine wanatutumia na kutuvisha t-shirt za wanazoziita foundations. Msitufanyie hivyo. Sasa hivi watu wanaojitambua 80%. Hata tulio vijijini.
- Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
- Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
- Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
Hivi vyote ukiviweka kapu moja tutasema ni uwoga na ujinga kama hizi ndiyo zitakuwa njia za kufuata ili kuondokana na viongozi wa Kiafrika wasiokuwa na vision.
- Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
- Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
- Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Sisi ni mbumbumbu waoga! Mahali pa kuchukua hatua kwa pamoja sisi tunategeana.
- Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
- Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
- Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine katuambia kuwa kijana ambaye hajapata mkopo ni Mkenya tulitulia. Maneno ya dhihaka toka kwa viongozi ni mengi lkn Sisi tunadumu kuwa watulivu. Tanzania ni kisiwa cha amani!
Viongozi wa Tanzania walioko madarakani hawashitushwi na uvumilivu,diplomasia na mazungumzo,tunapovumilia na kutumia mazungumzo ndio kwanza wanacheka wanatuona watanzania ni wapumbavu wanaotakiwa kuliwa siku zote,mambo ya uvumilivu na mazungu mzo pamoja na kutumia diplomasia vingekuwa vinafanya kazi Tanzania tungekuwa tumepata katiba mpya.