Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

Kuna usemi ulisemwa kuwa Kenyata alimwambia Nyerere kuwa wewe unatawala maiti wakenya huwezi ukawatawala.
 
Kuna usemi ulisemwa kuwa Kenyata alimwambia Nyerere kuwa wewe unatawala maiti wakenya huwezi ukawatawala.
Na nikweli watz hatujui kati ya haki na hisani,,,,Leo mtu akijengewa zaganati anatandika vitenge barabarani
 
Wakenya wamechanganyikiwa vichwa vyao vibovu thus hata panadol ya kenya iko vzr inatuliza kichwa haraka
Kweli wewe mjinga. Ndio maana Mwigulu alikuambia uhamie Burundi Kama hutaki tozo ukaomba msamaha.
 
Mzee wa miaka 66 unajiita Kijana?. Acha uongo.
 
Acha tudharauliwe tu kama tumeambiwa ukiwa una umri wa miaka 40 na bado ni masikini tusiilaumu serikali tujialaumu wenyewe kwanini hata kwenye hayo mengine tusikubali tu...

But time will tell.......
 
Finally, ujumbe wako ni upi? Kipi kifanyike?
 
"Kila mtanzania analaumu watanzania wengine ni wajinga hawaleti mabadiliko, na hao wanao laumiwa nao wanalaumu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…