Vijana wa Tiktok wanazungumzia maandamano kama wanafanya comedy

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Wimbi la watu kutekwa limeongezeka sana na wengi ni tiktokers, kule wanaongea waziwazi kama vile wanafanya comedy, kitu wasichojua ni kua adui yuko determined na hana aibu kufanya anayotaka kufanya.

Pengine ni kweli wanaumia sana na yanayoendelea lakini pia kuna ile hali ya kupata ushujaa kwa comments na likes.

Kama trends hii itaendelea na hawatajifunza kua adau wao ana means nyingi, basi tutapoteza vijana wengi sana wasio fahamu kua kuna watu kazi yao ni "doria mtandaoni".

Hata baafa ya wimbi la Gen Z kuisha kenya, watu walikua wakikamtwa kimya kimya, ndio maana vijana walikua wanavaa hadi mask kwenye maandamano, ila hapa naona kila kitu kinachukuliwa kama jokes.

Najua hata huku si safe but at least they have a work to do.
Sun Tzu once said
" Let's your plan be dark and impenetrable as night, and when you move, fall like a thunderbolt"
 
Hamna mtu anafanya comedy, ww pambana kwa nafasi Yako acha kejeli
 
Ishu ni kwamba hawatoweza kuteka wote wakawamaliza.hata vitani watu husonga mbele watu wanavyokufa sana kadri siku zinavyozid kwenda special forces zitaingia kazini
 
Wimbi la watu kutekwa limeongezeka sana na wengi ni tiktokers, kule wanaongea waziwazi kama vile wanafanya comedy, kitu wasichojua ni kua adui yuko determined na hana aibu kufanya anayotaka kufanya.

Pengine ni kweli wanaumia sana na yanayoendelea lakini pia kuna ile hali ya kupata ushujaa kwa comments na likes.

Kama trends hii itaendelea na hawatajifunza kua adau wao ana means nyingi, basi tutapoteza vijana wengi sana wasio fahamu kua kuna watu kazi yao ni "doria mtandaoni".

Hata baafa ya wimbi la Gen Z kuisha kenya, watu walikua wakikamtwa kimya kimya, ndio maana vijana walikua wanavaa hadi mask kwenye maandamano, ila hapa naona kila kitu kinachukuliwa kama jokes.

Najua hata huku si safe but at least they have a work to do.
Sun Tzu once said
" Let's your plan be dark and impenetrable as night, and when you move, fall like a thunderbolt"
Lengo lako na mada hii ni nini; kutisha watu au kutoa tahadhari.

Vyovyote iwavyo, mapambano yamekwisha anza, na umma wa waTanzania hakuna atakaye pambana nao na kushinda.

Kamfikishie habari hizo Samia na Genge lake, kama ndio waliokutuma kuleta hofu kwa watu humu.
Hakuna vitisho vitakavyo zuia washenzi hawa kung'olewa safari hii.

Hizo juhudi za kuteka watu ni ishara muhimu ya kuonyesha hofu kubwa waliyo nayo wakati huu.
 
Vijana hawa waliopata elimu hii ya kama huna kipaji au pako hakuna mabadiliko hawa ni watengeneza contents tu hawana jipya
 
Lengo lako na mada hii ni nini; kutisha watu au kutoa tahadhari.

Vyovyote iwavyo, mapambano yamekwisha anza, na umma wa waTanzania hakuna atakaye pambana nao na kushinda.

Kamfikishie habari hizo Samia na Genge lake, kama ndio waliokutuma kuleta hofu kwa watu humu.
Hakuna vitisho vitakavyo zuia washenzi hawa kung'olewa safari hii.

Hizo juhudi za kuteka watu ni ishara muhimu ya kuonyesha hofu kubwa waliyo nayo wakati huu.
Ukiwa unaongea kama vile mtu..
Lakini sasa vitendo..
 
Kuna watu hawana cha kupoteza mkuu......

Hana family, hana kaz, hana biashara, hana getto anagongea kwa washkaji tu huko... mind you huyu mtu ana elimu yake alafu anaona watoto wa kina mombo wana madola na magari ya kifahari na dole la kati juu ..... utamuambia akatiki ?
 
Back
Top Bottom