Vijana wa UDSM

Wagombea wa show off huwa hawashindi UDSM niliyopita labda kama upepo umebadilika
My bet huyo jamaa atashindwa
Mleta uzi utatuletea mrejesho
 
Ngoja waje huku mtaani watayakumbuka hayo
 
Future leaders[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji1][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Wengine wanandoto ya uongozi wengine wanandoto za eagle wing yaani πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.

Toa maoni yakoView attachment 1806756
Wasomi wanapofikiri kama vijana wasio enda shule wa bongo muvi.
What is this!! Surely!!Tulitegemea tuone vitu tofauti kutoka mlimani,lakini utakuta hawa vijana wanawaza mademu,Samsung Galaxy,na vingereeza vingi kwenye Daladala,
Wadogo zangu hivi kwa vituko hivi Kuna anayeweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya kwa umri wenu huo?
Salim Ahmed Salim aliteuliwa kuwa Balozi Misri akiwa kijana wa kidato Cha sita!jitafakarini,mi hapo naona majizi ya kesho tu.
Kwa taarifa yenu mmiriki wa Huu mtandao aliuanzisha akiwa kama nyinyi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…