moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.
Toa maoni yako
Toa maoni yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeMgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.
Toa maoni yakoView attachment 1806756
AlishindaWagombea wa show off huwa hawashindi udsm niliyopita labda kama upepo umebadilika
My bet huyo jamaa atashindwa
Mleta uzi utatuletea mrejesho
Future leaders[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji1][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.
Toa maoni yakoView attachment 1806756
Wengine wanandoto ya uongozi wengine wanandoto za eagle wing yaani 🙄🙄🙄🙄Future leaders[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji1][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Hao wote wana ndoto za kuja kuwa machawaWengine wanandoto ya uongozi wengine wanandoto za eagle wing yaani [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
😂😂😂😂Hao wote wana ndoto za kuja kuwa machawa
Kila kitu kina chanzo na asili yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labisaa mkuu unaweza fanya Kama mchezo ila ikawa kweli, maana mwenyewe hivi Kuna mchezo nilikuwa naupenda sana utoto mwisho wa Siku Leo naishi ndoto yanguKila kitu kina chanzo na asili yake
Huu ni utani wa maisha[emoji3][emoji3][emoji23]Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.
Toa maoni yakoView attachment 1806756
Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.
Toa maoni yakoView attachment 1806756
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Hao wote wana ndoto za kuja kuwa machawa
Wasomi wanapofikiri kama vijana wasio enda shule wa bongo muvi.Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.
Toa maoni yakoView attachment 1806756