Vijana wa UDSM

Vijana wa UDSM

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.

Toa maoni yako
IMG-20210603-WA0006.jpg
 
Wagombea wa show off huwa hawashindi UDSM niliyopita labda kama upepo umebadilika
My bet huyo jamaa atashindwa
Mleta uzi utatuletea mrejesho
 
Mgombea Urais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kwenye uchaguzi.

Toa maoni yakoView attachment 1806756
Wasomi wanapofikiri kama vijana wasio enda shule wa bongo muvi.
What is this!! Surely!!Tulitegemea tuone vitu tofauti kutoka mlimani,lakini utakuta hawa vijana wanawaza mademu,Samsung Galaxy,na vingereeza vingi kwenye Daladala,
Wadogo zangu hivi kwa vituko hivi Kuna anayeweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya kwa umri wenu huo?
Salim Ahmed Salim aliteuliwa kuwa Balozi Misri akiwa kijana wa kidato Cha sita!jitafakarini,mi hapo naona majizi ya kesho tu.
Kwa taarifa yenu mmiriki wa Huu mtandao aliuanzisha akiwa kama nyinyi,
 
Back
Top Bottom