Urusi sio SomaliaKama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu.
Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova,Poland na Hungary.
Baada kuona wakipita mipakani huwa wanazuiliwa kuendelea na safari.sasa wamebadili mbinu ambapo wengine wanatumia kiza cha usiku kukata mbuga.wengine huamua kuogolea kuvuka mto
Swimming rivers and faking illness to escape Ukraine’s draft
View attachment 2819134
Oya we Mzee wa "so soon" karibu staftahZelensiky kabla ya kuingia Vitani ilibidi aende Google atazame uwezo wa Jeshi la Urusi Duniani.
Kwanza Marekani yenyewe haimuwezi na ndio maana akaunda Nato lakini bado hawawezi.
Siku Urusi akitangaza Vita na Waungaji Mkono wote watamkimbia president Zelensiky aka Mr Hamnazo.
Sidhan km Zele hiyo hali ya kuish kwa mashaka inamfurahisha tatizo sponsa ndie anamaamuz ktk mchezo mzimaMi ningekimbia mapema sana maana haya yote yalikuwa yanatokea ningekuja kuish hata kwa mtogole