Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Very logic. Thanks
 
Tamaa ya kumiliki vitu vilivyo nje ya uwezo wao
Kiujumla hawataki kujishughulisha ili kutimiza tamaa zao kwa haraka ni kudate vizee vyenye maokoto
 
Tamaa ya kumiliki vitu vilivyo nje ya uwezo wao
Kiujumla hawataki kujishughulisha ili kutimiza tamaa zao kwa haraka ni kudate vizee vyenye maokoto
Kisa umaskini ukiosababishwa na chukua chako napema.
 
Mageuzi ya kimahusiano
 
Kwani age gap kati ya ME na KE inatakiwa kuwa ngapi mleta mada?

Maana kama Me ana 50, kuoa au kuhusianan na Ke mwenye 30 ni kawaida tu.

Labda useme Ke mwenye 50 vs Me mwenye 30 ina ukakasi.
 
Kwani age gap kati ya ME na KE inatakiwa kuwa ngapi mleta mada?

Maana kama Me ana 50, kuoa au kuhusianan na Ke mwenye 30 ni kawaida tu.

Labda useme Ke mwenye 50 vs Me mwenye 30 ina ukakasi.
Kwamfanio hapa 👇 age gap imeleta madhara gani

Sababu ni zilezile tu;
1. Poverty
2. High taxes
3. Poor infrastructure
4. Land alienation
5. Poor education system
6. Forced labour
 
Vijana wa chips hawawezi kuvitosheleza vibinti ndiyo vinalazimika kuwafuata wazee
Wamama watu wazima wana uwezo wa kuwa manipulate hao vijana kitu ambacho vibinti haviwezi
Wazee ndo wamechoka vijana tuna nguvu, vibinti vinapenda hela kwa wazee. Vijana hatujajipata bado.
 
Matatizo ya akili, Level za juu sana za mmonyoko wa maadili, Umasikini na tamaa.

Kuna kipindi nilifunga na kuomba Mwenyezi Mungu anisaidie nisionekane na watu wenye umri kuanzia 15 kunizidi.

Nina dhambi zingine tu hiyo siitaki.
 
Binti akili nyingi hawezi date Vijana pasua kichwa...... niko natafuta mzee mmoja nitulie naee💃💃💃🤣🤣🤣
 
Huu ni mgogolo mkubwa,lakini maendeleo yanaonekana sijajua wapi pesa inapita kufikia.maemdelea ya familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…