Hilo pia silipingi mkuu.unaendelea kunipa somo japo ninatambua.Kuna utofauti, wenzetu mfumo wao haubadiliki sana,watoto huendeleza miradi ya familia
Ila kwetu juhudi binafsi na kufanya kazi kwa bidii ndizi zinazobadilosha maisha yako na jamii yako,
Kwa sasa hata kama familia ina shamba huwezi ukamkuta kijana wa 2000 anaenda kulima tena kwa jembe,
Vijana wamekubali kuendeshwa na dunia na lazima uwe mtumwa wa dunia
Shughuli ndogondogo hawataki,kazi za nguvu hawataki , sasa kwanini wasioleke na waume wenzao ama wanawake wenzao
Watoto wa kizazi hiki wanataka kuwa wasafi muda wote,wale vizur na maisha mazuri pasipo kazi
Uko sahihi,Ila Sababu pia ni mfumo mzima kama Taifa Kuna mahali tulifeli lazima tukubaliane na huu ukweli maana hicho Kizazi hakikujilea chenyewe
I just believe wakati Watanzania tuna ipokea globalization hatukuwa Tumejiandaa kabisa kukabiliana na pressure ya mabadiliko yanayoweza kuletwa na utandawazi so watoto wengi wa Kizazi hiki wamelelewa na media Kwa kiasi kikubwa Huku wakipata malezi Bora Toka Kwa wazazi wao Kwa uchache
Hebu fikiria mwenyewe Sasa hivi jamii yetu media tulizo nazo Huwa zinapush Vipindi Gani vyenye kuwajenga watu wa Taifa lake ,
Media za nchi yetu kuanzia Asubuhi mpaka usiku Zina jadili mziki Mpira na umbea wa zuchu na diamond nandy na yammi Yaani muda wote na hizo media ndio hizo hizo zinazo sikilizwa na sana na hiki Kizazi chetu hapo Bado sijaongelea mitandao ya kijamii as TikTok insta na Post zinazo tumwa huko
Kuna namna serikali na jamii nzima Kwa ujumla ilishindwa kuidhibiti negativity activity zinazo letwa na globalization that's why we here
Mkuu huko kwenyewe ni kama buza saiv.Uko sahihi,
Nilikua mpenzi wa kisikiliza radio sana ila kwa sasa angalau kidoogo radio free ,tbc nayo japo imejawana uchawa
SIjui nini kifanyike vijana wajifunze kujitegemea, wazo la kwenda jeshi kwa mujibu wa sheria lilikua ni wazo zuri sana ila si wote wanaopata fursa hiyo,huko ndio kidogo vijana wangejifunza vizuri japo wakikengeuka hawashikiki
You're Pathetic Scumbabag , a disgrace for the nation and JfKizazi cha early 90s ndo mpango mzima. Nyie endeleeni tu kuwakatia mauno hadharani miarabu.
Mtihani sanaUko sahihi,
Nilikua mpenzi wa kisikiliza radio sana ila kwa sasa angalau kidoogo radio free ,tbc nayo japo imejawana uchawa
SIjui nini kifanyike vijana wajifunze kujitegemea, wazo la kwenda jeshi kwa mujibu wa sheria lilikua ni wazo zuri sana ila si wote wanaopata fursa hiyo,huko ndio kidogo vijana wangejifunza vizuri japo wakikengeuka hawashikiki
Slip of the pen2025
Kwa Sasa kuwa mpinzani ni uhaini.Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche
Walipata uwanja na uhuru wa kusema kwa kuwa Nyerere hakuwa muuaji na mtesaji na msodoma. Leo utachagua kufa peke yako au usodomiwe na kuchukuliwa video. Uchafu na laana ya Taifa langu Tanganyika. Hata waliotaka kumpindua nchi hatimaye Nyerere waliachiwa akina Maganga, Hans Pope nkMuda una mambo yake
Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025
Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi
6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa
7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika
8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu
9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha
10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo
11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche
Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo
Britanicca
Hicho ndio kizazi cha kwanza kutuonyesha effects za ufeminia na utandawazi. Kwa kweli hayo masuala mawili tukiyapokea wakati tukiwa bado hatujajiandaa kukabiliana na athari zake.Kizazi cha 2000-2025 ni Kizazi kinacho hitaji maombi haswa, as sisi kama wazazi wao tuliwaacha wajilee wrnyewe sisi kama wazazi wao tulikua busy kutafuta pesa
Vipi tabiri zako zinatekelezeka. au ndio tuhesabu maumivu tu.Muda una mambo yake
Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025
Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi
6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa
7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika
8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu
9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha
10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo
11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche
Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo
Britanicca
Uko right!! But nadhan vijana wa buku mbili wanataka simple life yaan apate hela kirahisi bila maumiv au kuwajibika. Na ndii maan watawala inakua rahisi kwao kuwa win kwa vijisent vya hapa na pale!!! Hao ma crybaby hata humu wamejaa!!!Muda una mambo yake
Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025
Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi
6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa
7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika
8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu
9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha
10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo
11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche
Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo
Britanicca
Muda una mambo yake

Mbona umekata tamaa mapema hivi? Kwahiyo yale mambo ya "utabiri" Agosti, sijui Mgombea Urais mwingine CCM na sio huyu ndio yameisha ivo!? Ahahahahaha!!!Muda una mambo yake