Vijana wafukua sarafu za dhahabu za miaka 1,100 Israel za enzi ya Abbasid

Bravo snr

Senior Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
182
Reaction score
477
Gold coins from the Abbasid era found at an archaeological dig in central Israel (18 August 2020)

Sarafu za dhahabu zilizozikwa katika chungu chenye uzito wa gramu 845

Vijana waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiakiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa miaka 1,100.

Pesa nyingi zilizopatikana ni za wakati wa kipindi cha awali cha Uislamu, sehemu hiyo ilipokuwa chini ya Khalifa Abbasid.

Sarafu hizo zenye uzito wa gramu 845 bila shaka wakati zinazikwa zilikuwa na thamani kubwa - kiasi cha kununua jumba la kifahari katika moja ya miji ya Khalifa.

Je, ni nani aliyekuwa anamiliki sarafu hizo na kwanini hakurejea kuchukua tena pesa hizo, ni baadhi ya maswali ambayo bado ni fumbo.

"Mtu aliyezika hazina hii miaka 1,100 bila shaka alitarajia kwamba atarejea kuzichukua, na hata kuchukua chungu na msumari wake ili kisiweze kusogea," Wakurugenzi wa machimbo, Liat Nadav-Ziv na Elie Haddad kutoka Mamlaka ya vitu vya kale vya Israel, wamesema hivyo kwenye taarifa iliyotolewa.

Volunteer Oz Cohen brushes away dust from gold coins found at an archaeological dig in central Israel (18 August 2020)

Volunteer Oz Cohen said the coins at first looked like very thin leaves when he uncovered them

Waliongeza: "Kupata sarafu za dhahabu, kwa kiwango hicho, ni jambo nadra sana. Ni fedha ambazo huwa hazipatikani katika hifadhi ya vitu vya kale, hasa ukizingatia kwamba dhahabu imekuwa kitu cha thamani sana, pesa zilizoyeyushwa na kutumiwa tena kutoka kizazi kimoja hadi kingine."

Mmoja wa vijana waliovumbua sarafu hizo, Oz Cohen, amesema: "Lilikuwa jambo la kufurahisha. Nilichimba chini ya ardhi na nilipochimbua, niliona kile kilichoonekana kama majani. Nilipoangalia tena nikaona ni sarafu za dhahabu."

Robert Kool, mtaalamu wa sarafu, amesema kuwa sarafu hizo zilijumuisha dinari za dhahabu lakini pia vipande vidogo vya dahabu 270 - vipande vya dinari vilitumika kama "salio la kiwango cha chini".

Aliongeza kwamba moja ya vipande ilikuwa ni dhahabu iitwayo solidus za wakati wa Byzantine wa mfalme Theophilos zilizotengenezwa Constantinople, ambazo zilikuwa nyenzo adimu sana kuendeleza uhusiano kati ya milki mbili hasimu wakati wa kipindi hicho.

Kwa hisani ya BBC
 
Toka walipofanya Historia ya Mapiramidi na Misri kuwa sayansi (Egyptology) na kiwekea namna ya kuiwasilisha (Ambayo wana control over) nilianza kuwa na mashaka makubwa na haya madude yote. Sounds fishy and more like propaganda.

There is more to this. And the light will finally light in the darkest places...

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Funguka kidogo kwenye Egyptology.
 
Funguka kidogo kwenye Egyptology.
Kuna paper niliipitia kidogo ambayo iliconfirm maswali yangu.

Kwanza ni kwann Historia ya Eneo au Watu ifanyike muhimu Sana kwa watu walioko maili nyingi Sana mbali!? (Egypt and Europe)

Historia ya Misri ilifanywa kuwa tawi la sayansi naWazungu wa Ulaya (Uingereza, Ujerumani na Ufaransa). Tena katika kipindi ambacho Ukoloni ndio unaanza kushamiri.

Kwa kifupi Ukitaka kuwatawala watu ukiachilia magivu na misuli pia unaweza kutumia elimu. Na kwa njia hii walifanikiwa kuikalia na kuiexploit Misri mpaka leo. Mfano mwingine ni namna Filamu zinavyotumika kuwalaghai waafrika kwamba all high profile people in USA wanatumia iPhone na MacBooks. (Wakati truth is only 40pc uses Iphone and Less than 10pc uses Mac) that's the power of Education/Knowledge.

Jumuiya yote ya wamisri wa leo inaamini katika "Eternal Egypt"(A constructed myth by Western) ambayo inazunguza juu ya Great civilization of Egypt iliyodumu kwa miaka 3000 bila kubadilika ( kitu ambacho Ni ngumu kuamini) hamuwezi kukaa miaka 3000 na kusiwe na mabadiliko hata kidogo.

Japo inaexclude Coptic and Islamic Times in Egypt Lakini hii ndio agenda inayowafanya wamisri waendelee kujitawala kijeshi wakiamini they are protecting their ancestors efforts and doing good favor their future generations. By keeping what they worked for alive and kicking.. huku anayefinace akiwa mkoloni anayetaka influence over Suez Canal.

Perspective mpya au maandiko yoyote nje ya utaratibu uliowekwa na mfumo huu wa kikoloni (Egyptology) lazima upingwe vikali maana utadisturb the balance.

Ikifika hapo ndio unagundua ..Ukoloni haukuisha Kama tunavyoaminishwa.. hata sisi Tanzania tulianza vizuri sana na elimu ya kujitegemea..sera mujarab kabisa.. Kisha Mungai at our economic lowest point akafuta sera hiyo kimya kimya tukaanza kujifunza madudu..

Wakaondoa siasa na uraia, ambayo ndio foundation ya kuwapata raia wema, na bora, na kuwafundisha watu njia sahihi za kujiongoza na kuandaa viongozi.

Wakaondoa sayansi ya Kilimo, na Sayansi ya kujikimu, na kucompress kila kitu kiwe chap chap.. ukisema hakuna akili ya mkoloni nyuma ya hii move ntashangaa na sitakuamini.

Wakaja wakatupa msaada tufanye land reform iliyoweka msisitizo kwenye umiliki wa Ardhi, Kisha wakazimiminia fedha NGOS zikawaeleimishe watu haki zao bila kuwafundisha wajibu. Very tactically destabilizing the country from grassroot levels.. [emoji16][emoji119][emoji1241]

In short haya mambo hufanyika kwa Malengo Sana. Na Wala sio sayansi wala siri kihiivyo...most of time the most obvious explanation is the realest.

Kilwa was here waaaaaay before Zanzibar was a thing, ila husikii kitu much about it.. hawawezi kuwapa kichwa hata siku moja mjue mliweza kabla hawajaja!? Imposible.

Kwa Israel hii move inaweza kuwa na mambo mengi ikiwemo kuendelea kuuaminisha Umma wa ulimwengu wao ndio wateule kweli, kuvutia utalii au kucreate fear and dominance over other nations etc.

Just my thoughts

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kamukhm nashukuru kwa maelezo yako.

Nilivyokuelewa ni kuwa agenda kuu ni kuficha ukweli wa maendeleo ya watu weusi. Utashangaa kukuta wamisri huwa wanatambulika kisheria kama ni wazungu, kwanini wao na siyo wasudani au waithiopia?

Waingereza wakati wanatawala Misri walihakikisha wanavunja pua zote za sanamu za Misri ili tuu kuondoa ushahidi wa weusi kutawala Misri ya kale.

Umedokezea kuhusu kilwa, hata mimi huwa inaniuma kwa nini wizara husika haipiganii hili. Yaani historia ya miaka 1000 iliyopita ya Kilwa haiongelewi lakini Zanzibar ya juzi tuu wanaiongelewa sana, ukiangalia unakuta kuna mwarabu ndiye aliyeleta hayo maendeleo. Unakuta ile ajenda ya kuficha maendeleo ya mtu mweusi imejificha.

Hata kiswahili tuu kinaelezwa kuwa wazungu na waarabu ndiyo waliokiwezesha, ajenda kila mahali.

Kuhusu Tanzania kubadilishwa mifumo ya kiuchumi, kielimu na kiuzalendo na kubaliana na wewe 100%. Yote hii ni katika kudhoofisha maendeleo ya nchi, kupumbaza watu ili wasiweze kujitegemea ili waendelee kunyonywa.
 
Kamukhm nashukuru kwa maelezo yako.

Nilivyokuelewa ni kuwa agenda kuu ni kuficha ukweli wa maendeleo ya watu weusi. Utashangaa kukuta wamisri huwa wanatambulika kisheria kama ni wazungu, kwanini wao na siyo wasudani au waithiopia?

Waingereza wakati wanatawala Misri walihakikisha wanavunja pua zote za sanamu za Misri ili tuu kuondoa ushahidi wa weusi kutawala Misri ya kale.

Kuhusu Tanzania kubadilishwa mifumo ya kiuchumi, kielimu na kiuzalendo na kubaliana na wewe 100%. Yote hii ni katika kudhoofisha maendeleo ya nchi, kupumbaza watu ili wasiweze kujitegemea ili waendelee kunyonywa.
Kabisa. Lazima tuchukue usukani wa kusema sisi ni akina Nani.. kwann Tungoje mpaka mtu atusemee. Na sisi tuchimbe tuseme wakikubali sawa wakigoma juu yao.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna paper niliipitia kidogo ambayo iliconfirm maswali yangu.

Kwanza ni kwann Historia ya Eneo au Watu ifanyike muhimu Sana kwa watu walioko maili nyingi Sana mbali!? (Egypt and Europe)

Historia ya Misri ilifanywa kuwa tawi la sayansi naWazungu wa Ulaya (Uingereza, Ujerumani na Ufaransa). Tena katika kipindi ambacho Ukoloni ndio unaanza kushamiri.

Kwa kifupi Ukitaka kuwatawala watu ukiachilia magivu na misuli pia unaweza kutumia elimu. Na kwa njia hii walifanikiwa kuikalia na kuiexploit Misri mpaka leo. Mfano mwingine ni namna Filamu zinavyotumika kuwalaghai waafrika kwamba all high profile people in USA wanatumia iPhone na MacBooks. (Wakati truth is only 40pc uses Iphone and Less than 10pc uses Mac) that's the power of Education/Knowledge.

Jumuiya yote ya wamisri wa leo inaamini katika "Eternal Egypt"(A constructed myth by Western) ambayo inazunguza juu ya Great civilization of Egypt iliyodumu kwa miaka 3000 bila kubadilika ( kitu ambacho Ni ngumu kuamini) hamuwezi kukaa miaka 3000 na kusiwe na mabadiliko hata kidogo.

Japo inaexclude Coptic and Islamic Times in Egypt Lakini hii ndio agenda inayowafanya wamisri waendelee kujitawala kijeshi wakiamini they are protecting their ancestors efforts and doing good favor their future generations. By keeping what they worked for alive and kicking.. huku anayefinace akiwa mkoloni anayetaka influence over Suez Canal.

Perspective mpya au maandiko yoyote nje ya utaratibu uliowekwa na mfumo huu wa kikoloni (Egyptology) lazima upingwe vikali maana utadisturb the balance.

Ikifika hapo ndio unagundua ..Ukoloni haukuisha Kama tunavyoaminishwa.. hata sisi Tanzania tulianza vizuri sana na elimu ya kujitegemea..sera mujarab kabisa.. Kisha Mungai at our economic lowest point akafuta sera hiyo kimya kimya tukaanza kujifunza madudu..

Wakaondoa siasa na uraia, ambayo ndio foundation ya kuwapata raia wema, na bora, na kuwafundisha watu njia sahihi za kujiongoza na kuandaa viongozi.

Wakaondoa sayansi ya Kilimo, na Sayansi ya kujikimu, na kucompress kila kitu kiwe chap chap.. ukisema hakuna akili ya mkoloni nyuma ya hii move ntashangaa na sitakuamini.

Wakaja wakatupa msaada tufanye land reform iliyoweka msisitizo kwenye umiliki wa Ardhi, Kisha wakazimiminia fedha NGOS zikawaeleimishe watu haki zao bila kuwafundisha wajibu. Very tactically destabilizing the country from grassroot levels.. [emoji16][emoji119][emoji1241]

In short haya mambo hufanyika kwa Malengo Sana. Na Wala sio sayansi wala siri kihiivyo...most of time the most obvious explanation is the realest.

Kilwa was here waaaaaay before Zanzibar was a thing, ila husikii kitu much about it.. hawawezi kuwapa kichwa hata siku moja mjue mliweza kabla hawajaja!? Imposible.

Kwa Israel hii move inaweza kuwa na mambo mengi ikiwemo kuendelea kuuaminisha Umma wa ulimwengu wao ndio wateule kweli, kuvutia utalii au kucreate fear and dominance over other nations etc.

Just my thoughts

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
una akili sana wewe
 
Mkuu Sisi waafrika tuna matatizo sana,utasikia hata wakielezea historia za mikoa hapa nchini unaambiwa kwa mfano:mkoa wa Shinyanga zamani wenyeji walikua wanaipaita Inyanza lkn mzungu alipokuja akashindwa kutamka akawa anatamka Shinyanga ndio ikawa hivyo mpk leo,mkoa wa Mwanza wenyeji walikua wanapaita jina jingine la Kikwao/asili ila eti mzungu alishindwa kutamka akatamka Mwanza ndio mpk leo tunaita hivyo,Ziwa Nyanza ndivyo lilivyokua linaitwa na wenyeji hivyo lkn eti tukaja kuliita ziwa victoria mpk leo hi sababu ya wazungu,Pale Airport Dar palikua panajulikana kama Julius Kambarage Nyerere International Airport ila nikamsikia mwanasiasa mmoja awamu iliyopita akisema neno Kambarage wanaliondoa eti kisa wazungu wanashindwa kulitamka/ni gumu kwao so likabaki Neno Julius Nyerere tu.

Yaani historia imevurgwa kwny kila kitu,hakuna kitu cha kihistoria kitatajwa sasa hivi hapa nchini/Africa bila kumtaja mzungu.

WTF
 
Na Imefanyika hivyo makusudi.. yaani hatuwezi fanya vitu bila kuweka Mzungu kwenye Mlinganyo.. na huo ndio Ukoloni wenyewe .haswa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna paper niliipitia kidogo ambayo iliconfirm maswali yangu.

Kwanza ni kwann Historia ya Eneo au Watu ifanyike muhimu Sana kwa watu walioko maili nyingi Sana mbali!? (Egypt and Europe)

Historia ya Misri ilifanywa kuwa tawi la sayansi naWazungu wa Ulaya (Uingereza, Ujerumani na Ufaransa). Tena katika kipindi ambacho Ukoloni ndio unaanza kushamiri.

Kwa kifupi Ukitaka kuwatawala watu ukiachilia magivu na misuli pia unaweza kutumia elimu. Na kwa njia hii walifanikiwa kuikalia na kuiexploit Misri mpaka leo. Mfano mwingine ni namna Filamu zinavyotumika kuwalaghai waafrika kwamba all high profile people in USA wanatumia iPhone na MacBooks. (Wakati truth is only 40pc uses Iphone and Less than 10pc uses Mac) that's the power of Education/Knowledge.

Jumuiya yote ya wamisri wa leo inaamini katika "Eternal Egypt"(A constructed myth by Western) ambayo inazunguza juu ya Great civilization of Egypt iliyodumu kwa miaka 3000 bila kubadilika ( kitu ambacho Ni ngumu kuamini) hamuwezi kukaa miaka 3000 na kusiwe na mabadiliko hata kidogo.

Japo inaexclude Coptic and Islamic Times in Egypt Lakini hii ndio agenda inayowafanya wamisri waendelee kujitawala kijeshi wakiamini they are protecting their ancestors efforts and doing good favor their future generations. By keeping what they worked for alive and kicking.. huku anayefinace akiwa mkoloni anayetaka influence over Suez Canal.

Perspective mpya au maandiko yoyote nje ya utaratibu uliowekwa na mfumo huu wa kikoloni (Egyptology) lazima upingwe vikali maana utadisturb the balance.

Ikifika hapo ndio unagundua ..Ukoloni haukuisha Kama tunavyoaminishwa.. hata sisi Tanzania tulianza vizuri sana na elimu ya kujitegemea..sera mujarab kabisa.. Kisha Mungai at our economic lowest point akafuta sera hiyo kimya kimya tukaanza kujifunza madudu..

Wakaondoa siasa na uraia, ambayo ndio foundation ya kuwapata raia wema, na bora, na kuwafundisha watu njia sahihi za kujiongoza na kuandaa viongozi.

Wakaondoa sayansi ya Kilimo, na Sayansi ya kujikimu, na kucompress kila kitu kiwe chap chap.. ukisema hakuna akili ya mkoloni nyuma ya hii move ntashangaa na sitakuamini.

Wakaja wakatupa msaada tufanye land reform iliyoweka msisitizo kwenye umiliki wa Ardhi, Kisha wakazimiminia fedha NGOS zikawaeleimishe watu haki zao bila kuwafundisha wajibu. Very tactically destabilizing the country from grassroot levels.. [emoji16][emoji119][emoji1241]

In short haya mambo hufanyika kwa Malengo Sana. Na Wala sio sayansi wala siri kihiivyo...most of time the most obvious explanation is the realest.

Kilwa was here waaaaaay before Zanzibar was a thing, ila husikii kitu much about it.. hawawezi kuwapa kichwa hata siku moja mjue mliweza kabla hawajaja!? Imposible.

Kwa Israel hii move inaweza kuwa na mambo mengi ikiwemo kuendelea kuuaminisha Umma wa ulimwengu wao ndio wateule kweli, kuvutia utalii au kucreate fear and dominance over other nations etc.

Just my thoughts

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We nikwere,
 
Ngoja uzi uvamiwe na mamluki ya wafia dini za kimapokeo za wazungu...
Hawajawahi kuona nje ya yale walioambiwa na wazungu.

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Back
Top Bottom