Uchaguzi 2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

Sawa nabii tito
 
Hawana lolote zaidi ya kusaka ajira kwa mlango wa nyuma, kitaa kugumu mzee paskali
 
Na wanaonewa kweli
 
Hapo ndipo naanzaga kuwapenda watanzania
afta election utawasikia wakisema
wakimlalamikia magu saaan kumbe njaa ya siku moja iliwaponza
Kama watanzania wangekuwa wanaakili timamu magufuli hakupaswa kuendelea kubaki ikulu
Ova

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Wewe usha panda jukwaa gani kunadi sera? Nyie wajinga Jiwe akiondoka hatutaona mkimlamba miguu tena, itakuwa kama Mgabe, kwa sasa endeleeni kujipendekeza kwake ili muende kwenda Chooni but time is coming
 
Kuna mizee mingine kama hili ( miTICC) imeamua kujitoa akili baada ya kuona ng'ambo imefikwa. Halafu kufa haitaki!!!
 
Mwanabodi Pascal Mayalla wewe ni mwanahabari ambaye unaipenda tasnia yako na taaluma yako istawi. Unajivunia nini katika utawala huu?. Umetendewa haki, umeongezewa au umenyang'anywa uhuru kiasi gani?.
 
A mere propaganda!

Graduates are at home
Hopelessly eating what they dont produce.

Feeling so unhappy and guilty of loosing time invested in school with no recognition to the govt.

Those who fought hopelessly to win the NEC clerk and supervisor's position in the long queue are the real graduates
 
Unatuchosha kila siku unapost ujinga wako humu ili ufikiriwe kwenye serikali mpya ya haramu ya kisukuma
 
Tunataka wasomi wanaojitambua,kupenda maendeleo kwa vitendo,siyo kupinga kila kitu!
 
Duh kura zitakuwa nyingi sana
 
Acheni upumbavu ninyi CCM.

Misiasa ya kichoko karne ya 21.

Pathetic.

Hata aibu hamuoni
 
Kule Mbeya Tulia Ackson amekodi ma-bus ya aina hiyo zaidi ya 6, huyatumia kuyaanua MaCCM kutoka point "A" iliyokuwa anahutubia ili akawahutubie MaCCM hao hao point "B" kuongeza vichwa. Hapo Dar es Salaam nadhani Gwajboy anaiga kunya kwa Tembo kutoka kwa Tulia Ackson.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…