Uchaguzi 2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

CCM itashinda huu uchaguzi kirahisi sana, kwa sababu muundo wa tume ya uchaguzi, na jinsi katiba ilivyo havitoi mwanya wa asiye madarakani kushinda u rais!!

Hivyo naungana na ww Pasco kusema kwamba CCM itashinda!!

Binafsi nilitamani JPM ashinde kwa ushindi finyu wa angalau 51% labda pengine ingeweza kumbadilisha na kufanya vizuri zaidi kuliko awamu iliyopita!!

Wapinzani kama kweli wanataka mabadiliko, basi waanze na kupigania badiliko la katiba kwanza. Lasivyo watakuwa wakilia kila mwaka kuwa wanaonewa!!

Hii dhana ya “wapinzani” sijui inaelewekaje nchini? Ninavyojua ni kuwa ni juu ya Watanzania kuamua wanataka nini si viongozi wala makada wala wanachama. Hicho ni kikundi kidogo sana. Wao kwa wingi wao ndio wanaoweza kuidhibiti serikali iliyoko madarakani.

Kama wengi wao wanapendelea “status quo” basi utawala wa CCM utaendelea tu. Ndio takwa lao. Rejea asilimia 80 ya Nyalali. Na hakuna atakayeweza kufanikiwa katika kupigania mabadiliko yoyote iwe ya katiba, uongozi, n.k. kwani wananchi watakuwa “hawataki” mabadiliko.

Kwa kifupi, hakuna kitu kama “wapinzani” kinachoweza kuwepo nje ya Watanzania wengi. Opposition can’t exist in a vacuum. Hivyo, vyama vya upinzani vikishindwa kihalali kwenye uchaguzi huu basi ni wazi kuwa ajenda yao haijakubaliwa na Watanzania wengi. Lakini vikionewa, basi ni Watanzania wengi ndio watakuwa wameonewa. Itakuwa ni jukumu la hao Watanzania wengi kupigania haki yao; sio kunyooshea vidole viongozi wa vyama vya upinzani.
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni
vijana wahitimu wa vyuo vikuu, wameamua kujiunga pamoja kuunda kikundi cha CCM Campaign Bus ili kuikampenia CCM, kwa kutumia basi maalum waliloliita "CCM Campaign Bus", basi hilo wakati wa rush hours, linapita mabarabari kuangazia roots zilizoelenewa, na kusaidia kusafirisha bure abiria, ku supplement usafiri wa dala dala, hivyo kuwafikia watu wengi, wa kawaida ambao hawapati muda wa kuhudhuria kampeni.

Basi hili la CCM Campaign Bus, limeisaidia sana CCM kufahamika hivyo kuvuna kura kibao.

Wasikilize vijana hawa

Paskali

Hivi wewe Pascal Ni mzima kweli? Hivi huyu Jiwe na CCM Ni chama Cha kujivunia kweli ? Kwa akili zako na elimu yako unaweza ukamshabikia ibilisi anayetesa watanzania mchana kweupe ?
 
Una ushahidi wowote wa hayo?, kumuita binadamu ibilisi bila ushahidi wowote ni uibilisi!.
P
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni
vijana wahitimu wa vyuo vikuu, wameamua kujiunga pamoja kuunda kikundi cha CCM Campaign Bus ili kuikampenia CCM, kwa kutumia basi maalum waliloliita "CCM Campaign Bus", basi hilo wakati wa rush hours, linapita mabarabari kuangazia roots zilizoelenewa, na kusaidia kusafirisha bure abiria, ku supplement usafiri wa dala dala, hivyo kuwafikia watu wengi, wa kawaida ambao hawapati muda wa kuhudhuria kampeni.

Basi hili la CCM Campaign Bus, limeisaidia sana CCM kufahamika hivyo kuvuna kura kibao.

Wasikilize vijana hawa

Paskali

Vijana hawa waliyafanya haya kwasababu ya JPM.
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Wameshapata ajira baada ya kumaliza chuo?
Wanabodi,

Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni
vijana wahitimu wa vyuo vikuu, wameamua kujiunga pamoja kuunda kikundi cha CCM Campaign Bus ili kuikampenia CCM, kwa kutumia basi maalum waliloliita "CCM Campaign Bus", basi hilo wakati wa rush hours, linapita mabarabari kuangazia roots zilizoelenewa, na kusaidia kusafirisha bure abiria, ku supplement usafiri wa dala dala, hivyo kuwafikia watu wengi, wa kawaida ambao hawapati muda wa kuhudhuria kampeni.

Basi hili la CCM Campaign Bus, limeisaidia sana CCM kufahamika hivyo kuvuna kura kibao.

Wasikilize vijana hawa

Paskali
 
Nawashauri wakafanye umachinga utawasaidia waachane na hii biashara kichaa wanayoifanya!
 
Unaweza kuta muda huu wanajuta hatari kwa makosa waliofanya.Muda huu hata hawaitwi tena ofisi za chama.Ukiona kuna programu fulani wakati wa uchaguzi ujue kuna mmoja ananufaika na waliobaki ni kama wapambe tuu wao ukiwapa ten ten fresh
 
Back
Top Bottom