BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hawa vijana hawawezi jipigania, hawawezi shinikiza ajira, haeawezi oaza sauti zao, hawa wanataka mtu baki awapiganie, na apigwe Mabomu na Polisi wakati anawapigania wao wakiwa kwenye keybord.
Vijana wa vyuo vikuu mtaani ni wengi mno na CCM haitaki wapate hata ajira ili iwatumie ipasavyo hasa kuhongwa Kofia na Tshirt na kuwa Chawa wa vijana wa UVCCM.
Ajira zinatolewa kwa vimemo, kwa wale wenye watu kwenye systeam na mitaji hakuna sana sana pesa zilizopo ni za Mama kununua Magori ya Yanga na Simba na zingine kuagiza magari Japani.
Hawa vijana ndio sasa wanashauriwa wajiajiri kwa kuendesha Bidaboda kea sababu kazi ni kazi. Huu ni ujinga.
Hawa vijana sasa wanataka either Mbowe au Lisu waandamane kwa niaba yao, Lisu au Mbowe waandae Mabango na waandamane kabisa kushinikiza ajira kwa vijana, Mfano Mbowe achukue Binti yake na Mke wake na watengeneze Mabango ya kutaka ajira kwa vijana.
Wakati Mbowe atakapo kuwa ana andmana wao watakuwa kwenye vijiwe na kwenye smart phone zao wanafuatilia mada za Yanga na Simba.