Vijana waimba Mapambio ya Serikali humu ndani; Je, na nyie ni wanufaika na huu upigaji wa Riport ya CAG?

Vijana waimba Mapambio ya Serikali humu ndani; Je, na nyie ni wanufaika na huu upigaji wa Riport ya CAG?

Eti hii ndio akili kubwa inalipwa kutetea mitandaoni 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😂 🤣 😂 😂
sitetei chochote gentleman kwa malipo,

wajibu wangu jukwaa ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu tena bila kuogopa wala kujali mihemko useless au makasiriko nonsense ya mdau yeyeote wa JF aliepoteza uelekeo na kuhangaishwa na ugumu wa maisha.
 
anaestahi kunyongwa hadi kufa ni muhani na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni mpaka sasa.

waTanzania kwa mamilioni yao, daima ni wamoja na wote wako nyuma ya serikali sikivu ya CCM waliyoipa dhamana ya kushika dola, kuwatumikia na kuwaletea maendeleo.

Kongole nyingi sana kwa mkuu wa nchi Dr.Samia Suluhu Hassana na wasaidizi wako kwa hatua madhubuti na za makusudi zinazolenga mageuzi ya kisekta yanayolenga kubadili kabisa hali za maisha ya waTanzania kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Well done CCM.
Watu wajinga kama nyie mnatakiwa kutokomezwa ili nchi iPone siku inakuja.
 
Vijana waimba mapambio ya serikali ni wasaliti kwa nchi ni vijana wanaostahili kunyongwa kwenye maana nao ni wanufaika na huu wizi wa riport ya CAG huwezi kuona vijana wakipiga na kuumizwa na huu wizi unaofanywa na watumishi na Viongozi wa Serikali wako kimya kama hamna kinachoendelea wao ni kuimba mapambio Je, nao ni wanufaika?
Kuna chawa hapa JF sioni mkimtagi waungwana nae kwenye msululu yupo hasa pale kwenye uwanja wetu wa AFCON
 
Vijana waimba mapambio ya serikali ni wasaliti kwa nchi ni vijana wanaostahili kunyongwa kwenye maana nao ni wanufaika na huu wizi wa riport ya CAG huwezi kuona vijana wakipiga na kuumizwa na huu wizi unaofanywa na watumishi na Viongozi wa Serikali wako kimya kama hamna kinachoendelea wao ni kuimba mapambio Je, nao ni wanufaika?
Ni wanufaika sio la kuuliza
 
Back
Top Bottom