Vijana wakimbia 'mdahalo'

Vijana wakimbia 'mdahalo'

cabo

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
4,756
Reaction score
5,250
Habari zenu vijana.

Hii ni kwa wale waliokuwa wanapenda kukimbia sana debate mashuleni mnajifanya wajanja sana sasa huku mtaani kwenye ajira ndio utajutia jitu linakuja kwenye interview ya group dadek zake hata haliongei ku-debate linaishia kusema yes!!! yes!!! [emoji23][emoji23][emoji23] halaf unategemea tukuite kwenye kazi hahaha tunakulima tu yes! yes! yako ukaisemee huko kwa girlfriend na boyfriend wako.

Sasa nyie mnaokimbia debate huko mashuleni kwenu iwafikie maana najua mpogo humu endeleeni kukimbia na sisi mkiingia kwenye angazetu tuna wakimbiza kama paka mwizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatupendi ushubwada.

End of story...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni "interview" ya utangazaji na uigizaji sawa, kinyume na hapo kama maswali yako ni 'open end Q' au 'close end Q' tegemea "yes! no!" kwa wingi.
 
Kama ni "interview" ya utangazaji na uigizaji sawa, kinyume na hapo kama maswali yako ni 'open end Q' au 'close end Q' tegemea "yes! no!" kwa wingi.
Kuna debate ya yes no tangu lini, uwezo wa kuzungumza ndio unaongaliwa mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa msomi naomba kuuliza hivi yule profesor Chako alipataje kazi.
 
Education is better than money !

Kuna kaukweli flani ingawa naona kama presentations zinasaidia zaidi
 
Kwahiyo debate ndio Qualifications ya kazi yenu? Au wote kazi Kwenu huko walishiriki debate ndio imewapa kazi acha ushamba ww zamwamwa ww limbukeni.
 
Kwahiyo debate ndio Qualifications ya kazi yenu? Au wote kazi Kwenu huko walishiriki debate ndio imewapa kazi acha ushamba ww zamwamwa ww limbukeni.
Nadhani unadandia treni kwa mbele litakugonga wewe inawezekana ni mmoja wapo wa wale mliopata kazi kwa njia ya connection huelewi mambo hebu pita kushoto ndio maana tumekukata kwenye usahili shubaamit!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom