Vijana wakimbia 'mdahalo'

Vijana wakimbia 'mdahalo'

Kazi yangu mimi huwa interview yangu sipewi karatasi wala pen alafu haitaki maneno interview yangu kama hujui hujui hakuna kubahatisha kama zenuh hizo maneno kibao kupotezeana muda tu.
 
Nadhani unadandia treni kwa mbele litakugonga wewe inawezekana ni mmoja wapo wa wale mliopata kazi kwa njia ya connection huelewi mambo hebu pita kushoto ndio maana tumekukata kwenye usahili shubaamit

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi yangu mm huwa interview yangu sipewi karatasi wala pen alafu haitaki maneno interview yangu kama hujui hujui hakuna kubahatisha kama zenu hizo maneno kibao kupotezeana muda tu.
 
Mkuu naomba kazi mi lugha ya malkia naimanya 😂😂😂😂😂
 
Jibu la swali huwa linategemeana na aina ya swali lililoulizwa. Kujibu yes au no sio kitu cha ajabu mbona!
 
Jibu la swali huwa linategemeana na aina ya swali lililoulizwa. Kujibu yes au no sio kitu cha ajabu mbona!
Ni kweli ila lazima uongezee maelezo kidogo sio yes au no kisha unaganda kamma barafu ya mlima k'njaro
 
Ni kweli ila lazima uongezee maelezo kidogo sio yes au no kisha unaganda kamma barafu ya mlima k'njaro
Jibu lako ni kweli na ni uongo. Kwenye suala la kujibu maswali inategemeana swali na swali. Kuna maswali yanahitaji maelezo na kuna maswali hayahitaji maelezo. Huu ni ukweli usiopingika - universal truth,iwe ni kwwnye intavyuu au maisha ya kila siku.

> Mfano:
Swali: Umesoma hadi chuo kikuu?
Jibu: Ndiyo.

Swali: Umepika chai?
Jibu: Hapana.

> Mfano:
Swali: Ulihitimu chuo kikuu mwaka gani?
Jibu: Nilihitimu chuo kikuu mwaka 19978.

Swali: Kwanini haujapika chai?
Jibu: Nimechelewa kuamka leo. Ninaenda kupika sasa hivi.
 
Siku hizi kazi ni za kiukoo si za kukimenya kiingilishi
Nani kakwambia mzee kazi zimo nyingi tu izo ni mentality za watu wachache ukiwemo wewe tafuta kazi mzee ziko nyingi sana ukizibgatia kila mwaka watu wanaretile wengine wanafariki wanaacha kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu lako ni kweli na ni uongo. Kwenye suala la kujibu maswali inategemeana swali na swali. Kuna maswali yanahitaji maelezo na kuna maswali hayahitaji maelezo. Huu ni ukweli usiopingika - universal truth,iwe ni kwwnye intavyuu au maisha ya kila siku.

> Mfano:
Swali: Umesoma hadi chuo kikuu?
Jibu: Ndiyo.

Swali: Umepika chai?
Jibu: Hapana.

> Mfano:
Swali: Ulihitimu chuo kikuu mwaka gani?
Jibu: Nilihitimu chuo kikuu mwaka 19978.

Swali: Kwanini haujapika chai?
Jibu: Nimechelewa kuamka leo. Ninaenda kupika sasa hivi.
Maswali ya yes na no utakutana nayo kwenye written tu na yenyewe huwa mara chache sana 1 of 100 ila kwenye oral maviiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom