Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Kazi yangu mimi huwa interview yangu sipewi karatasi wala pen alafu haitaki maneno interview yangu kama hujui hujui hakuna kubahatisha kama zenuh hizo maneno kibao kupotezeana muda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yangu mm huwa interview yangu sipewi karatasi wala pen alafu haitaki maneno interview yangu kama hujui hujui hakuna kubahatisha kama zenu hizo maneno kibao kupotezeana muda tu.Nadhani unadandia treni kwa mbele litakugonga wewe inawezekana ni mmoja wapo wa wale mliopata kazi kwa njia ya connection huelewi mambo hebu pita kushoto ndio maana tumekukata kwenye usahili shubaamit
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mzee kila mtu acheze mechi zakeKazi yangu mm huwa interview yangu sipewi karatasi wala pen alafu haitaki maneno interview yangu kama hujui hujui hakuna kubahatisha kama zenu hizo maneno kibao kupotezeana muda tu.
Haaaa haya wachabtuangalie movie nzima itakapoishiaKuna debate ya yes no tangu lini, uwezo wa kuzungumza ndio unaongaliwa mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi kazi ni za kiukoo si za kukimenya kiingilishiMkuu naomba kazi mi lugha ya malkia naimanya 😂😂😂😂😂
Ni kweli ila lazima uongezee maelezo kidogo sio yes au no kisha unaganda kamma barafu ya mlima k'njaroJibu la swali huwa linategemeana na aina ya swali lililoulizwa. Kujibu yes au no sio kitu cha ajabu mbona!
Jibu lako ni kweli na ni uongo. Kwenye suala la kujibu maswali inategemeana swali na swali. Kuna maswali yanahitaji maelezo na kuna maswali hayahitaji maelezo. Huu ni ukweli usiopingika - universal truth,iwe ni kwwnye intavyuu au maisha ya kila siku.Ni kweli ila lazima uongezee maelezo kidogo sio yes au no kisha unaganda kamma barafu ya mlima k'njaro
[emoji23][emoji23]aisee nilikuwa wapi sikuona hiii ni kweli kabisa yaniNi kweli ila lazima uongezee maelezo kidogo sio yes au no kisha unaganda kamma barafu ya mlima k'njaro
Ngoja kazi zikitangazwa ulete cv yakoMkuu naomba kazi mi lugha ya malkia naimanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakwambia mzee kazi zimo nyingi tu izo ni mentality za watu wachache ukiwemo wewe tafuta kazi mzee ziko nyingi sana ukizibgatia kila mwaka watu wanaretile wengine wanafariki wanaacha kaziSiku hizi kazi ni za kiukoo si za kukimenya kiingilishi
Maswali ya yes na no utakutana nayo kwenye written tu na yenyewe huwa mara chache sana 1 of 100 ila kwenye oral maviiiiiiJibu lako ni kweli na ni uongo. Kwenye suala la kujibu maswali inategemeana swali na swali. Kuna maswali yanahitaji maelezo na kuna maswali hayahitaji maelezo. Huu ni ukweli usiopingika - universal truth,iwe ni kwwnye intavyuu au maisha ya kila siku.
> Mfano:
Swali: Umesoma hadi chuo kikuu?
Jibu: Ndiyo.
Swali: Umepika chai?
Jibu: Hapana.
> Mfano:
Swali: Ulihitimu chuo kikuu mwaka gani?
Jibu: Nilihitimu chuo kikuu mwaka 19978.
Swali: Kwanini haujapika chai?
Jibu: Nimechelewa kuamka leo. Ninaenda kupika sasa hivi.
Kaka, iwe oral au written yote ni yale yale!Maswali ya yes na no utakutana nayo kwenye written tu na yenyewe huwa mara chache sana 1 of 100 ila kwenye oral maviiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app