cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Habari zenu vijana.
Hii ni kwa wale waliokuwa wanapenda kukimbia sana debate mashuleni mnajifanya wajanja sana sasa huku mtaani kwenye ajira ndio utajutia jitu linakuja kwenye interview ya group dadek zake hata haliongei ku-debate linaishia kusema yes!!! yes!!! [emoji23][emoji23][emoji23] halaf unategemea tukuite kwenye kazi hahaha tunakulima tu yes! yes! yako ukaisemee huko kwa girlfriend na boyfriend wako.
Sasa nyie mnaokimbia debate huko mashuleni kwenu iwafikie maana najua mpogo humu endeleeni kukimbia na sisi mkiingia kwenye angazetu tuna wakimbiza kama paka mwizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatupendi ushubwada.
End of story...
Sent using Jamii Forums mobile app