Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Vijana, tukiweka aibu chini na kuingia sokoni, lazima kipato cha kuendesha familia zetu kipatikane.
Kuna shughuli za kutembeza viatu, nyama choma, kahawa, karanga, nguo, vyombo, ice cream n.k
Na hizi shughuli, nguvu yako ni kuzunguka mtaa kwa mtaa; kama kijana ataamua kuweka aibu chini na kuingia sokoni, ataweza kujikimu kwa mahitaji yake.
Wangapi wanaweza kufanya hizo shughuli?