Vijana wakiweka aibu chini, wanaweza kufanikiwa

Vijana wakiweka aibu chini, wanaweza kufanikiwa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Vijana, tukiweka aibu chini na kuingia sokoni, lazima kipato cha kuendesha familia zetu kipatikane.

Kuna shughuli za kutembeza viatu, nyama choma, kahawa, karanga, nguo, vyombo, ice cream n.k

Na hizi shughuli, nguvu yako ni kuzunguka mtaa kwa mtaa; kama kijana ataamua kuweka aibu chini na kuingia sokoni, ataweza kujikimu kwa mahitaji yake.

Wangapi wanaweza kufanya hizo shughuli?​
 
Hiyo shughuli zinakuwezesha kupata pesa ya kula na kulipa kodi kwenye vibanda vya watu na ikipambana sana uwe na mke na upate uhakika wa mbususu.
Kama itafanyika vizuri, inaweza kumpelekea kufikia hatua nyingine zaidi.
 
Hizo shughuli wanafanya watu ambao hawana plan B ya maisha.

Yaani anawaza hapo hapo.

Shaurini vijana watafute ujuzi na sio kufanya biashara za uchuuzi.

Kijana aliulizwa nje ya degree yako una kitu gani cha ziada? akabaki anashangaa.
Wanaweza wakaanzia kwenye hiyo pointi ili kupata kianzio cha kwenda kujifunza ufundi
 
Vijana, tukiweka aibu chini na kuingia sokoni, lazima kipato cha kuendesha familia zetu zipatikane.

Kuna shughuli za kutembeza viatu, nyama choma, kahawa, karanga, nguo, vyombo, ice cream n.k

Na hizi shughuli, nguvu yako ni kuzunguka mtaa kwa mtaa; kama kijana ataamua kuweka aibu chini na kuingia sokoni, ataweza kujikimu kwa mahitaji yake.

Wangapi wanaweza kufanya hizo shughuli?​
Unavyoandika as if hizo shughuli hatuzijui au hatuwajui wanaozifanya huku kitaa, mnaandika mambo kirahisi rahisi sana ndio tatizo lenu, wewe ushatembeza hizo bidhaa?
 
Unavyoandika as if hizo shughuli hatuzijui au hatuwajui wanaozifanya huku kitaa , mnaandika mambo kirahisi rahisi Sana ndio tatizo lenu , we ushatembeza hizo bidhaa ?
Unashauri, nini kifanyike?
 
Nakumbuka nishafanya biashara ya nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa wa kuuza simu ndogo zile za batani ndani ya wiki moja nikauza simu 5 nikaona huu ufala,biashara bila ofisi maalumu ni utopolo kama utopolo mwingine
 
Ni kweli mkuu aibu inakwamisha vijana,Ila Dunia ya sasa inafocus kwenye fani ni vyema na haki vyema tukazane kupata ujuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom