Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Changamoto ilikuwa wapi?Tumefanya Sana hizo na hatujafanikiwa Mkuu zaidi ya mahangaiko
Ngoja nimalizie mpira wa simba tuwabutue hawa utopolo kwanza, then nije na changamoto nilizokutana nazo wakati nafanya hizo kazi.Changamoto ilikuwa wapi?
Kama itafanyika vizuri, inaweza kumpelekea kufikia hatua nyingine zaidi.Hiyo shughuli zinakuwezesha kupata pesa ya kula na kulipa kodi kwenye vibanda vya watu na ikipambana sana uwe na mke na upate uhakika wa mbususu.
AiseeHiyo shughuli zinakuwezesha kupata pesa ya kula na kulipa kodi kwenye vibanda vya watu na ikipambana sana uwe na mke na upate uhakika wa mbususu.
Hela ulikuwa unapeleka wapi?Kazi za kijinga hizo niamini mimi ninachokisema.......2014 nimeosha sana karoti kwenye mto wa bonite sikupata chochote zaidi ya kupasuka mikono.....
Wanaweza wakaanzia kwenye hiyo pointi ili kupata kianzio cha kwenda kujifunza ufundiHizo shughuli wanafanya watu ambao hawana plan B ya maisha.
Yaani anawaza hapo hapo.
Shaurini vijana watafute ujuzi na sio kufanya biashara za uchuuzi.
Kijana aliulizwa nje ya degree yako una kitu gani cha ziada? akabaki anashangaa.
Pisi zinakopa sanaNgoja nimalizie mpira wa simba tuwabutue hawa utopolo kwanza, then nije na changamoto nilizokutana nazo wakati nafanya hizo kazi
Unavyoandika as if hizo shughuli hatuzijui au hatuwajui wanaozifanya huku kitaa, mnaandika mambo kirahisi rahisi sana ndio tatizo lenu, wewe ushatembeza hizo bidhaa?Vijana, tukiweka aibu chini na kuingia sokoni, lazima kipato cha kuendesha familia zetu zipatikane.
Kuna shughuli za kutembeza viatu, nyama choma, kahawa, karanga, nguo, vyombo, ice cream n.k
Na hizi shughuli, nguvu yako ni kuzunguka mtaa kwa mtaa; kama kijana ataamua kuweka aibu chini na kuingia sokoni, ataweza kujikimu kwa mahitaji yake.
Wangapi wanaweza kufanya hizo shughuli?
Unashauri, nini kifanyike?Unavyoandika as if hizo shughuli hatuzijui au hatuwajui wanaozifanya huku kitaa , mnaandika mambo kirahisi rahisi Sana ndio tatizo lenu , we ushatembeza hizo bidhaa ?
Leta fikra za kitajiri, na uelezee imefikia hatua ganihuu uzi wa ovyo kuwahi kutokea duniani. Na una fikra za kimasikini
Kwa siku nilikuwa napata 5000 aub7000 ukitoa hela ya chakula wari na maharage 1500 na maji ya kunywa ya buku unabakiwa na 2500 yaani bure kabisaHela ulikuwa unapeleka wapi?