Vijana walio Dar wilaya ya Temeke tukutane

Vijana walio Dar wilaya ya Temeke tukutane

Ni wazo Kama mawazo mengine but ili wazo ni zuri kwa sisi vijana wa Temeke.Mim binafsi naunga mkono wazo
 
sisi huku tumepewa juzi (kikundi cha watu 6) tuliomba m15 tukapewa m10.pesa ziko bank kweny acc ya kikund imebak kikao cha makubaliano jinsi ya kuifanyia kazi.

vijana changamkieni msilalamike ajira hamna
 
huwa katika halmashauri wanatoa mikopo nakumbuka mwaka jana tulijikusanya tukaweka kikundi cha watu 5 tukaenda kuomba mkopo
 
Tupange siku basi na mahali pa kukutana, nitamualika na Mstahiki Meya Mh. Mtinika aje kutusikiliza, ni mtu poa Sana Hana makuu.
 
Back
Top Bottom