M Mpwani jr Member Joined Feb 15, 2021 Posts 7 Reaction score 1 Oct 29, 2021 #21 Ni wazo Kama mawazo mengine but ili wazo ni zuri kwa sisi vijana wa Temeke.Mim binafsi naunga mkono wazo
Ni wazo Kama mawazo mengine but ili wazo ni zuri kwa sisi vijana wa Temeke.Mim binafsi naunga mkono wazo
kingkongtz JF-Expert Member Joined Dec 28, 2019 Posts 1,058 Reaction score 3,613 Oct 29, 2021 #22 sisi huku tumepewa juzi (kikundi cha watu 6) tuliomba m15 tukapewa m10.pesa ziko bank kweny acc ya kikund imebak kikao cha makubaliano jinsi ya kuifanyia kazi. vijana changamkieni msilalamike ajira hamna
sisi huku tumepewa juzi (kikundi cha watu 6) tuliomba m15 tukapewa m10.pesa ziko bank kweny acc ya kikund imebak kikao cha makubaliano jinsi ya kuifanyia kazi. vijana changamkieni msilalamike ajira hamna
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Oct 29, 2021 #23 huwa katika halmashauri wanatoa mikopo nakumbuka mwaka jana tulijikusanya tukaweka kikundi cha watu 5 tukaenda kuomba mkopo
huwa katika halmashauri wanatoa mikopo nakumbuka mwaka jana tulijikusanya tukaweka kikundi cha watu 5 tukaenda kuomba mkopo
K Kwetusongea Senior Member Joined Nov 30, 2014 Posts 110 Reaction score 41 Nov 7, 2021 #24 Mtoa mada mbona alikimbia tena
Optimists JF-Expert Member Joined Oct 17, 2021 Posts 379 Reaction score 1,082 Nov 7, 2021 #25 Wakuu natafuta room around stereo hapo
KING ASSENGA JF-Expert Member Joined Oct 8, 2016 Posts 928 Reaction score 1,478 Nov 7, 2021 #26 Nipo mbezi
mfuga kuku JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 824 Reaction score 650 Nov 21, 2021 #27 Tupange siku basi na mahali pa kukutana, nitamualika na Mstahiki Meya Mh. Mtinika aje kutusikiliza, ni mtu poa Sana Hana makuu.
Tupange siku basi na mahali pa kukutana, nitamualika na Mstahiki Meya Mh. Mtinika aje kutusikiliza, ni mtu poa Sana Hana makuu.