Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 558
- 661
Habari wakuu, nyie jamaa mnaosukuma subaru dzr, bmw dys na toyota dzk mnawazungumziaje wanenu apeche alolo mlo soma wote sec & primary school?
Iko hivi nimepita mahali dada anazungumza na simu network inazingua anajitambulisha kwa mtu wa pili anaezungumza nae yeye ni mke wa 'ngumi jiwe' nilijikuta nacheka sana.
Kuna jamaa mtaani hapa anajiita saibogi mpaka baba yake analijua jina,kuna mwingine billbranks,mara shaurini soka.
Itoshe kusema hawa jamaa mlicheza nao mpira/mlisoma nao.