Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Unamfananisha Putin na Magufuli😄😄Namuona Putin kama Magufuli aliyechangamka. Tofauti yao ngozi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfananisha Putin na Magufuli😄😄Namuona Putin kama Magufuli aliyechangamka. Tofauti yao ngozi tu.
Namuona Putin kama Magufuli aliyechangamka. Tofauti yao ngozi tu.
NonsenseNamuona Putin kama Magufuli aliyechangamka. Tofauti yao ngozi tu.
Achana na hao ng'ombe mkuu maana vichwa vyao ni kama salfeti za kubebea ulimi tu...Unajua kuna watu kwa makusudi mmeamua kuwa hamna akili
Vijana humu kumshabikia au kutomshabikia Putin ndio itafanya Vita viishe? Dunia nzima kupitia umoja wa mataifa wamemlaaani na kumuwekea vikwazo Putin, Vita imeisha??
Mnataka kutoa lawama za kipumbavu.
Siku ambayo bando la internet connection ikiwa 1gb ni Tshs 15,000 Ndio akili zitakaa Sawa, maana watakaoingia internet ni watu wenye pesa zaoVyovyote itakavyokuwa na iwe ili liwe fundisho kwa mataifa mengine kuacha utegemezi wa misaada na hadaa za haya mataifa yaliyosherehekea miaka 50 ya ushoga.
Putin piga Gaykraine hao maana hakuna namna
Nalog off Z
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mpaka vita kuisha tutaona na kusikia mengi sana, kwa hiyo huyu anamaana sisi vijana pro-Russia ni vijana wateule na tukimlaani Putin atatusikia ataacha kumshikisha adabu mdogo ake mwenye dharau eti?
Acha ujinga, vita ameipika US then anampaka tope mwenzie na kama we have to suffer kwa maamuzi ya Putin ili kulinda nchi yake, so be it maana tutaumia zaidi kama Urusi itaanguka mazima akabaki mbwa US
Wanamshabikia kwasababu anapinga mapenzi ya jinsia moja. Wakati wanaompinga wanapenda na kushabikia mapenzi ya jinsia mojaKijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa?
sasa hivi majuzi hapa Dubai nimeshuhudia bei kali ya mafuta na foleni ndefu ya magari wakigombania kujaza mafuta kabla ya tarehe moja Julai nikajiuliza hapo nyumbani Bongo hali itakuwaje…? Kisha nikawakumbuka wale Vijana wanaomshangilia Putin kwenye mitandao.
Wakati Nikiwa na Peruzi nikakutana na Habari ya anguko la Uchumi wa nchi ya Sri Lanka shule zimefungwa kwa muda wa wiki ya tatu mfululizo, kutokana na uhaba wa mafuta ya kuendeshea magari ya kusafirisha walimu na wanafunzi.
Waziri wa Elimu amewataka walimu na wanafunzi ambao wameathirika na tatizo hilo kutumia mafunzo kwa njia ya mtandao hadi pale tatizo hilo litakapokuwa limepatiwa ufumbuzi.
Waziri wa Nishati wa Sri Lanka, Kanchana Wijesekera amesema, shehena ya kwanza ya mafuta ya tani elfu 40 inatarajiwa kuwasili nchini humo tarehe 22 mwezi huu.
Serikali ya Sri Lanka inahitaji dola milioni 587 kwa ajili ya kununulia mafuta ambapo nchi hiyo inadaiwa dola milioni 800 na wasambazaji wa mafuta kutokana na deni la kuagiza nishati hiyo nchini humo. Vijana wa Sri Lanka hawawezi kumsifia Putin kwa madhara ya vita hivi wameona matokeo yake.
Sisi hapa nyumbani tunaweza kubeza hizi bilioni 100 za Ruzuku ya mafuta kwa kuwa tumejaliwa midomo ya kuongea tungetembea kujionea Marekani wananchi wake wanavyotaabika, majuzi pale Uingereza kwa Malikia watu wakiaandamana juu ya hali ngumu ya maisha.
Hapa JF kuna Uzi zinazomsifia Putin na kuponda Ruzuku ya bilioni 100 inayotolewa na serikali kunusuru kupanda kwa bei ya mafuta nchi.
Siku ambayo bando la internet connection ikiwa 1gb ni Tshs 15,000 Ndio akili zitakaa Sawa, maana watakaoingia internet ni watu wenye pesa zao
@ward41 kama sikosei alianzisha thread Jana akakimbia,,,wewe nae umewahi golini mpira umeuacha nyuma.Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa?
sasa hivi majuzi hapa Dubai nimeshuhudia bei kali ya mafuta na foleni ndefu ya magari wakigombania kujaza mafuta kabla ya tarehe moja Julai nikajiuliza hapo nyumbani Bongo hali itakuwaje…? Kisha nikawakumbuka wale Vijana wanaomshangilia Putin kwenye mitandao.
Wakati Nikiwa na Peruzi nikakutana na Habari ya anguko la Uchumi wa nchi ya Sri Lanka shule zimefungwa kwa muda wa wiki ya tatu mfululizo, kutokana na uhaba wa mafuta ya kuendeshea magari ya kusafirisha walimu na wanafunzi.
Waziri wa Elimu amewataka walimu na wanafunzi ambao wameathirika na tatizo hilo kutumia mafunzo kwa njia ya mtandao hadi pale tatizo hilo litakapokuwa limepatiwa ufumbuzi.
Waziri wa Nishati wa Sri Lanka, Kanchana Wijesekera amesema, shehena ya kwanza ya mafuta ya tani elfu 40 inatarajiwa kuwasili nchini humo tarehe 22 mwezi huu.
Serikali ya Sri Lanka inahitaji dola milioni 587 kwa ajili ya kununulia mafuta ambapo nchi hiyo inadaiwa dola milioni 800 na wasambazaji wa mafuta kutokana na deni la kuagiza nishati hiyo nchini humo. Vijana wa Sri Lanka hawawezi kumsifia Putin kwa madhara ya vita hivi wameona matokeo yake.
Sisi hapa nyumbani tunaweza kubeza hizi bilioni 100 za Ruzuku ya mafuta kwa kuwa tumejaliwa midomo ya kuongea tungetembea kujionea Marekani wananchi wake wanavyotaabika, majuzi pale Uingereza kwa Malikia watu wakiaandamana juu ya hali ngumu ya maisha.
Hapa JF kuna Uzi zinazomsifia Putin na kuponda Ruzuku ya bilioni 100 inayotolewa na serikali kunusuru kupanda kwa bei ya mafuta nchi.
Na tatizo kubwa ni kuwa ukitegemea misaada yao watataka ukubali upuuzi wao wa ushogaUmeongea pumba, kama vijana was Tanzania wanamshangilia Putin ni mwanzo mpya was kupata nchi inayoenda kujitegemea na sio kusubiri misaada ya kupewa London na kujengewa vyoo.