Vijana waliopo Tanzania wanashangilia ubabe wa Putin

Kwani anguko la uchumi zimbabwe na kuvurugika kwa libya chanzo ni putin,naona wala bata wanamind kitumbua kimeingia mchanga...
 

Hivi bado kuna viumbe wako upande wa NATO!!! Yaliyotokea libya, iraq, Afghanistan, syria mnajitoa ufahamu eti!!!. Kama ndio wamezivuruga baadhi ya nchi za afrika hususani Tanzania, uganda na kenya huyu NATO mnaemshabikia si ajabu mngemlaani sana co!
 
Leo kuna game gani baada ya kubeba box nitupie macho.
 
Hivi umeshajiuliza kwann Putin a nafanya vile?
 
Lkn pia wa nashindwa kujua chanzo ni nn, Hao tunao waona ni Wazuri na waangwana kwetu ndio tatizo lilipo azia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…