Tetesi: Vijana waliovamia mkutano mkuu CUF wafukuzwa uanachama

Tetesi: Vijana waliovamia mkutano mkuu CUF wafukuzwa uanachama

katumia nguvu kubwa kuijenga cuf,kapoteza mengi,kuiacha mikononi mwa 'fisadi' ,lazma apambane kupgania jasho lake
Sa kama anatk kupambana kwann alijiuzuru?huyu alikokimbilia wamemtupa baada ya uchaguz kwsha ndo anatk kurud huku
 
Kwahiyo anaweza kuwa double agent?

Lipumba wala hakuwahi kupenda siasa
Lipumba alitafutwa tu kuziba pengo la Kigoma Malima
ilikuwa ghafla mno alipofariki huku uchaguzi umekaribia..
ndo maana 'alimsaidia JK' kushinda 2010
Sasa kanogewa na maigizo ya siasa na malipo anayopata...
deep down hayuko serious na siasa....
 
Sa kama anatk kupambana kwann alijiuzuru?huyu alikokimbilia wamemtupa baada ya uchaguz kwsha ndo anatk kurud huku
tatizo una mihemko,alipisha wenzie wafanye ule ujinga wa kumsimamisha mtu asiemuamini tna bila kufata makubaliano a ukawa
 
Ungesema ni ECONOMIST bora east and central Africa ningekataa lakini kama ni miongoni mwa maprofesa hilo linawezekana kwasababu HAO wanatengenezwa kwa malengo mbalimbali hata MSTAAFU ni Profesa
Sina hakika unataka kusema nini?, lakini tusihukumu kwa hisia!, (vigezo vitumike), Kama alitengenezewa u-professor kwa sababu maalumu Kama unavyodai ilijuwaje world bank walimtumia Sana, au Na Wao wanafanya mambo yao kiuchwarauchwara
 
Hahahaha hilo pozi la Prof Lipumba limenichekesha kwelikweli. Utadhani siyo Professor.
Mlimtumia kufnaikisha mambo yenu leo unacheka pozi lake!? Kweli mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe. Lipumba alizaliwa kisiasa na upinzani akadhani kula na CCM watamfaidisha kumbe hakuna kitu. Aliambulia kwenda Rwanda.
 
Jamaa alikuwa ametumia dawa za majira za siasa akifikiri zinaweza kufunga hamu ya siasa maisha sasa inaonekana dawa zimeisha nguvu hamu ya siasa imerudi kwa nguvu ndio maana anataka kiti tena
 
kweli wamefukuzwa bora kuwa ccm kuliko upinzani wasioheshimu demokrasia, wale walioimba wana imani na lowassa katika mchakato wa kumpata mgombea wa urais mwaka Jana mpaka Leo wapo hawakufukuzwa, halafu wanajinasibu kumuita Maguful dikteta wakati demokrasia ndani ya vyama vyao ni shiiiiiida kubwa kabisa.
 
Inasemekana vijana aliovamia mkutano mkuu Cuf wakishinikiza Prof, Lipumba kurudishiwa uenyekiti wamefukuzwa uanachama na kufutwa rasmi na kutakiwa kulipa ghalama za uharibifu.

Vijana hao wanajulikana kama mngiki wakiongozwa na kambaya wanatakiwa kulipa uharibufu wote uliosababishwa na vurugu hapo Jana. View attachment 385626View attachment 385627View attachment 385628
Wamefukuzwa na kikao kipi? Je walupewa nafasi ya kujieleza kama katiba inavyotaka?
Vyama vya ki ujanja ujanja hivi ni hatari sana
 
mnadhani kuwafukuza ni muhimu sana, Lipumba atabaki kuwa mtu muhimu katika uhai na ukuaji wa CUF, alijitolea akili,mwili na pesa kwaajili ya pesa..hakutaka kushiriki ufisadi na CHADEMA, hakika mtamkumbuka!
naona CUF INAENDESHWA NA CHADEMA
 
Hao wafuasi wanatakiwa kuchukuliwa hatua za nidhamu iwe fundisho kwa wengine wamefanya mambo ya kipuuzi sana.
 
hahahahahah...ila lipumba ni comedy wallah....hahahahahahah

cheki pozi lake...hahahahahaha
hapo anajenga hoja kichwani ngojeni timbwili lije sasa. mtamjua kama yeye ni profesa au la
 
Back
Top Bottom