TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
Utakula ulipopeleka mbogaUsipomaliza mzigo?
Mtihani huo hapo unaongea mpaka mate yanakaukaUtakula ulipopeleka mboga
HahahahahahMtihani huo hapo unaongea mpaka mate yanakauka
Mtihani huo hapo unaongea mpaka mate yanakauka
Tuendelee kulala tu.Jobless wenzangu mchongo huu tupite nao au tuendelee na ratiba zetu tu?
Bora tulale tumeambia ni 10K baada ya kumaliza mzigo bahati mbaya hatujaelezwa ukubwa wa huo mzigoTuendelee kulala tu.
Unalipwa kutokana unavyozalisha,usipomaliza mzigo boss atatoa wapiii pesa ya mshaharaUsipomaliza mzigo?
Endelea kulala,Bora tulale tumeambia ni 10K baada ya kumaliza mzigo bahati mbaya hatujaelezwa ukubwa wa huo mzigo
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kwanini mkuuTuendelee kulala tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] unasema ?Utakula ulipopeleka mboga
tubet tuu dingiJobless wenzangu mchongo huu tupite nao au tuendelee na ratiba zetu tu?
Mkuu huo ubuyu unaousambaza ni kilo ngapi?Mambo vip wakuu
Kuna project inataka kuanza wiki ijayo inahusu kusambaza ubuyu wa jumla na rejareja mtaani. Kwa ambaye Hana ramani, ramani ndio hiyo hapo. Unapewa target ya mzigo, ukiisha unalipwa kamisheni ya 10,000, so wewe Tu na juhudi yako.
Project hii tutatumia gari kuzunguka mitaani na maeneo mengine. Project inafanyika wilaya ya kinondoni hivyo kama upo tayari tunahitaji vijana wasizidi 4, tuwasiliane kwa namba hii 0625 959542.
SIFA za wanahitajika
uwe mcheshi
Ujue ushawishi wa wateja,
Usiwe mvivu
Usipende kusimamiwa
Elimu yoyote ile.
Jinsia yoyote ile.
Mkuu hujaeleza vikwanzo ni nini hasa hapotubet tuu dingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakula ulipopeleka mboga
Watu maisha wanayafanya magumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Health benefits za Ubuyu ni zipi...Mambo vip wakuu