TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
Mambo vip wakuu
Kuna project inataka kuanza wiki ijayo inahusu kusambaza ubuyu wa jumla na rejareja mtaani. Kwa ambaye Hana ramani, ramani ndio hiyo hapo. Unapewa target ya mzigo, ukiisha unalipwa kamisheni ya 10,000, so wewe Tu na juhudi yako.
Project hii tutatumia gari kuzunguka mitaani na maeneo mengine. Project inafanyika wilaya ya kinondoni hivyo kama upo tayari tunahitaji vijana wasizidi 4, tuwasiliane kwa namba hii 0625 959542.
SIFA za wanahitajika
uwe mcheshi
Ujue ushawishi wa wateja,
Usiwe mvivu
Usipende kusimamiwa
Elimu yoyote ile.
Jinsia yoyote ile.