Wanakwenda majumbani na ndio , maanaa nasema vijana wakae na walipo JWTZYale ya Nduli Iddy Amini Dada naona yanakuja sasa najiuliza wanakusanywa majumbani au barabarani?
Kuna makundi mawili.Yale ya Nduli Iddy Amini Dada naona yanakuja sasa najiuliza wanakusanywa majumbani au barabarani?
Samia ******** lina roho mbaya kuliko iddi amin, acha waue tuu, hizo bunduki zitaanza kupatikana mtaani kwa bei ya maandazi, kuna watu ndio biashara yao wameshaona opportunity zitaanza kuingia then tuone kama nao wataponaKuna makundi mawili.
Wengine wana list ya watu wanaowatafuta. Wakiwapata wanawafunga mikono kisha kuwapiga risasi na kuondoka.
Kundi Lingine wakikutana na vijana ambao Ramadhani wanashiriki maandamano wanawakamata na kuwapiga risasi.
Nafikiri Lengo ni kutisha.
Barabarani kuna vikosi vya polisi vinaua vijana. Usiku huu maeneo ya Ilala mpaka Buguruni kuna vikosi hivyo.
Mpumbavu wewe. Nenda sasa maeneo hayo.Acha propganda na upotoshaji
Na Mbeya siku ya jana 30.10.2025 walifanya hivyo kuua watu majumbani mwaoPlease please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi.
Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua.
Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed yanatokea Dar na maeneo mengine usiku huu.
Wanajeshi please msiruhusu unyama huu. Tusiruhusu vijana wetu wauawe hivyo.
Hata Mbeya kuna taarifa karibu na hizo.
Niliandika Uzi ,kuwaasa waandamanaji kutokwenda majumbani , ilipaswa watu kulala road pamoja na JWTZNa Mbeya siku ya jana 30.10.2025 walifanya hivyo kuua watu majumbani mwao
Yes ,hii ni kweli kuna mtu from mbeya ameniambia leo.. wafanyakazi vijana wa kiume wa shule yake walibini kumbilia vilimani jana usiku, kuna kikosi cha kinatembea usikuNa Mbeya siku ya jana 30.10.2025 walifanya hivyo kuua watu majumbani mwao
We boya nipo hapa ilala hakuna kitu kama Acha kuchochea vurugu !Mpumbavu wewe. Nenda sasa maeneo hayo.
Waambieni vijana usiku huu wapo safe kuwa kwenye makundi makubwa ya pamoja.
Kutembea wachache Wachache ni hatari kubwa. Lakini pia kuna vijana wanawindwa majumbani.
Hili linatokea sehemu mbalimbali ila usiku huu hali maeneo ya Dar ni mbaya sana.
Kama kuna wanajeshi humu please nendeni maeneo ya Ilala mpite na patrols hao wauaji wakimbie.
Jeshi fanyeni patrols usiku. Kwa usiku ni hatari zaidi.
Kama unamfahamu polisi rafiki wa Dar muulize nini kinaendelea huko mitaani.Inawezekana kuwa kweli na inawezekana kuwa uzushi
Na mbaya zaidi kama uzushi sababu itajenga hofu
Na kama ni kweli ni vizuri kuwa na ushahidi hasa katika hizi zama kijiditali ambapo kila mtu anaweza kupiga picha akiwa mbali na kuleta habari yenye ushahidi kamili....
NyaniWhy not rush those thugs and hack them to death?
Vijana mko kwenu na mko wengi halafu mnaruhusu kufanyiwa hivyo?
Come on now.